NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI NA MADINI, DKT. JULIANA PALLANGYO ATEMBELEA MIRADI YA TANESCO KINYEREZI

NA MWANDISHI WETU NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dkt, Juliana Palangyo, (pichani anayezungumza), ametembelea miradi ya k...



NA MWANDISHI WETU
NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dkt, Juliana Palangyo, (pichani anayezungumza), ametembelea miradi
ya kuzalisha umeme wa Gesi Asilia ya upanuzi wa Kinyerezi I pamoja na ule wa Kinyerezi II.
Akizungumza katika ziara yake ya kukagua miradi hiyo, Dkt Pallangyo ameridhishwa sana na jitihada zinazofanywa na Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), katika kuhakikisha Miradi hiyo inakamilika kwa wakati, ambapo mpaka sasa ujenzi wa mradi wa kinyerezi II umefikia asilimia 53%.

“Niwapongeze sana TANESCO kwa jitihada kubwa mnazozifanya katika kuhakikisha miradi hii inakamilika kwa wakati, ambapo mmewezesha Majenereta 8 yenye jumla ya Megawati (MW) 240 mpaka sasa yameshafika, hii ni hatua nyingine kubwa sana ,hivyo kupitia Mradi huu wa kinyerezi nina amini Tanzania ya Viwanda inawezekana”.

Akielezea maendeleo ya ujenzi wa Mradi wa Kinyerezi II, Meneja wa Kituo hicho Mhandisi Steven Manda alisema kuwa kituo hicho kinaendelea vizuri na ujenzi katika kuhakikisha kinakamilika Desemba 2018, ambapo mpaka sasa ukamilifui wa Mradi huo unategemea Kinyerezi I kutokana na Baadhi ya mitambo kuingiliana hasa mitambo ya mfumo wa upozaji maji ambao utaunganishwa na mtambo wa Kinyerezi I.
Naye Kaimu meneja wa Kituo cha Kinyerezi I Mhandisi Lucas Busunge amesema kuwa Mradi huo wenye uwezo wa kuzalisha Megawati 150, Umeongezewa uwezo wa kuzalisha Megawati zingine 185 ikiwa ni Awamu ya pili ya upanuzi wa Mradi huo.

Kwa ujumla miradi yote miwili itakapokamilika, jumla ya Megawati 575MW za umeme utokanao na Gesi Asilia, zitazalishwa na kuunganishwa kwenye Gridi ya Taifa na hivyo zitasaidia kuongeza upatikanaji wa Umeme wa Uhakika na kuwezesha wananchi wengi kupata huduma ya umeme na kufikia
malengo ya Serikali ya awamu ya tano ya kujenga uchumi wa viwanda kwa kuhakikisha Umeme unatumika kama njia moja wapo ya kuleta maendeleo ya wananchi na kuinua vipato vyao binafsi na Taifa kwa ujumla. Naibu Waziri Pallangyo alifanya ziara hiyo Aprili 20, 2017.

Mafundi wakiendelea na kazi katika moja ya jengo lilopo katika mradi wa kufua umeme wa gesi asili megawati 240 wa Kinyerezi I ambapo unafanyiwa upanuzi.

Naibu katibu Mkuu wa wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Juliana Pallangyo (wa pili kushoto) akiambatana na viongozi wa TANESCO alipotembelea na kukagua maendeleo
ya ujenzi wa Miradi ya Umeme Kinyerezi I&II. Kulia kwake ni kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO,Joyce Ngahyoma akifuatiwa na Kaimu Meneja Uhusiano,Yasini Didas
Slayo Kulia pamoja na Meneja Mradi wa Kinyerezi II, Mhandisi Stephen Manda (kushoto)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI NA MADINI, DKT. JULIANA PALLANGYO ATEMBELEA MIRADI YA TANESCO KINYEREZI
NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI NA MADINI, DKT. JULIANA PALLANGYO ATEMBELEA MIRADI YA TANESCO KINYEREZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEimDsnRD0BKBnvy6xQCcZzG8etcP3Osq1W4O7Rm1V9DZH0Tk3KkgsEzRJZUCVHvQT2YsXquJoQkzRssm_gnjRvmT4TVrcZ3sTaWUHDK3AMz9g6PV6ehmJmGYctbhB8fZPU4b3SjD7eU_0Y/s640/picha+no+2.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEimDsnRD0BKBnvy6xQCcZzG8etcP3Osq1W4O7Rm1V9DZH0Tk3KkgsEzRJZUCVHvQT2YsXquJoQkzRssm_gnjRvmT4TVrcZ3sTaWUHDK3AMz9g6PV6ehmJmGYctbhB8fZPU4b3SjD7eU_0Y/s72-c/picha+no+2.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/naibu-katibu-mkuu-wizara-ya-nishati-na.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/naibu-katibu-mkuu-wizara-ya-nishati-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy