MICHAEL KESSY NA FRANSISCA WAMBURA WANG'ARA WALIPOUAGA UKAPERA JIJINI MWANZA

Wadau wetu wa nguvu, Bwana Michael John Kessy na Miss Fransisca Wambuwa hii leo April 29,2017 wameng'ara baada ya kufunga pingu za ...



Wadau wetu wa nguvu, Bwana Michael John Kessy na Miss Fransisca Wambuwa hii leo April 29,2017 wameng'ara baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa la Roman Catholic (RC) Kirumba Jijini Mwanza.

Ndugu, jamaa na marafiki wameungana na wadau hao kwenye hafla ya kuwapongeza kwenye ukumbi wa Sun City Hotel Jijini Mwanza ambapo kama kawaida, Mshereheshaji mahiri Jijini Mwanza, Katumba Maduwa ameongoza vyema sherehe hiyo.
Binagi Media Group.
Muda wa kufungua shampeni
Maharusi wakikata keki
Wasaa wa maharusi kukata keki
Kwa upendo mkubwa, maharusi wakilishana keki
Best man Simba Akida na best lady Keflen Ezekiel wakijilisha keki

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MICHAEL KESSY NA FRANSISCA WAMBURA WANG'ARA WALIPOUAGA UKAPERA JIJINI MWANZA
MICHAEL KESSY NA FRANSISCA WAMBURA WANG'ARA WALIPOUAGA UKAPERA JIJINI MWANZA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhNasA5qkAhOmXpfcRCtyUU0KH47xVff_4NEjIoREH7wtqgy5tussSumtvtrp7QjcHkuEu6h5TUvG8Fsf9ELm8l-29rwQBpRBWyHMZfoGxa6Qyd2gSDnckevgyXi8lgg2KfMVfxLlKdWk0/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhNasA5qkAhOmXpfcRCtyUU0KH47xVff_4NEjIoREH7wtqgy5tussSumtvtrp7QjcHkuEu6h5TUvG8Fsf9ELm8l-29rwQBpRBWyHMZfoGxa6Qyd2gSDnckevgyXi8lgg2KfMVfxLlKdWk0/s72-c/1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/michael-kessy-na-fransisca-wambura.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/michael-kessy-na-fransisca-wambura.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy