IDARA YA HABARI YAFANYA MAHOJIANO NA MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mahojiano maalumu na Mkurugenzi Idara ya Habar...Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mahojiano maalumu na Mkurugenzi Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbasi kuhusu masuala ya Muungano kwa ujumla kuelekea maadhimisho ya Miaka 53 ya Muungano. 


Mkurugenzi Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Jarida la Nchi yetu linalotolewa na Idara ya Habari (MAELEZO). Jarida hilo liliandaliwa kwa ajili ya maadhimisho ya Miaka 55 ya Uhuru wa Tanganyika. 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) katika picha ya pamoja na watumishi wa Idara ya Habari (MAELEZO) mara baada ya mahojiano maalumu kuelekea Maadhimisho ya Miaka 53 ya Muungano (kutoka kushoto ni Beatrice Lyimo, Dkt. Hassan Abbasi, Jonas Kamaleki na Hassan Silayo.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: IDARA YA HABARI YAFANYA MAHOJIANO NA MAKAMU WA RAIS
IDARA YA HABARI YAFANYA MAHOJIANO NA MAKAMU WA RAIS
https://4.bp.blogspot.com/-1uwN4j4q-90/WPkGmaFq1QI/AAAAAAADfWI/oKdVwMlNh1owqGlWbHoS5WXyKip6ZA9zgCLcB/s640/has1.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-1uwN4j4q-90/WPkGmaFq1QI/AAAAAAADfWI/oKdVwMlNh1owqGlWbHoS5WXyKip6ZA9zgCLcB/s72-c/has1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/idara-ya-habari-yafanya-mahojiano-na.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/idara-ya-habari-yafanya-mahojiano-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy