DKT. SHEIN AZINDUA MSIKITI, MASJID MADINATUL MUNAWARA -DONGE KITALUNI

Wanafunzi wa kikundi cha dufu katika Kijiji cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,...


Wanafunzi wa kikundi cha dufu katika Kijiji cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,wakimuongoza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) wakati alipofika kuuzindua  Msikiti, Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji hicho leo Aprili 28, 2017. Msikiti huo umejengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki aliyeko Dubai, chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe. Mohamed Raza Daramsi. (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuuzindua Msikiti huo.
 
Msikiti wa Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni  Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai ambapo umezinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,chini ya Usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Donge,pia Waziri wa Fedha na Mipango Mhe,Dkt.Khalid Salum Mohamed wakati alipowasili katika viwanja vya Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo alipofika kuuzindua msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi wakati alipowasili katika viwanja vya Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo alipofika kuuzindua msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe,Vuai Mwinyi Mohamed wakati alipofika kuuzindua wasili Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo, uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Serikali na na Waislamu wa Dini ya Kiislamu wakiwa katika Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji  cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja,katika sherehe za Uzinduzi wa msikiti huo
Baadhi ya Waislamu na Wananchi walioalikwa katika sherehe za Uzinduzi wa Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji  cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea Funguo za Msikiti kutoka Msimamizi wa Ujenzi wa Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji  cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe,Mohamed Raza Daramsi (kushoto) baada ya Uzinduzi ulifanyika leo Kijijini hapo,Msikiti huo  umejengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: DKT. SHEIN AZINDUA MSIKITI, MASJID MADINATUL MUNAWARA -DONGE KITALUNI
DKT. SHEIN AZINDUA MSIKITI, MASJID MADINATUL MUNAWARA -DONGE KITALUNI
https://1.bp.blogspot.com/-tpIgFzh8ulg/WQNrr6wwaDI/AAAAAAAA1KA/w62G1WUksagsYS9weVHEg4X5HLwcC_udQCEw/s640/DSC_0074.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-tpIgFzh8ulg/WQNrr6wwaDI/AAAAAAAA1KA/w62G1WUksagsYS9weVHEg4X5HLwcC_udQCEw/s72-c/DSC_0074.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/dkt-shein-azindua-msikiti-masjid.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/dkt-shein-azindua-msikiti-masjid.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy