WAZIRI MKUU KUFUNGUA MKUTANO WA LAPF, JIJINI ARUSHA

Na Pamela Mollel Arusha. MFUKO wahifadhi ya wafanyakazi wa serikali za mitaa,LAPF,umeipongeza serikali kwakulipa malimbikizo ya...


Na Pamela Mollel Arusha.

MFUKO wahifadhi ya wafanyakazi wa serikali za mitaa,LAPF,umeipongeza serikali kwakulipa malimbikizo ya madeni ambayo mfuko huo na mingine ilikuwa ikiidai kwamiaka mingi na hivyo kuathiri usitawi wa mifuko hiyo.

Meneja wa LAPFkanda ya kaskazini, Rajabu Kinande, amesema hatua ya serikali kulipa madenihayo kumeiongezea mifuko ya hifadhi ya jamii uwezo wa kuhudumia wanachama waokwa wakati. Kinande, ameyasemahayo Marchi 7 jijini Arusha,alipokuwaakizungumza na vyombo vya habari kwenye kituo cha mikutano ya kimataifa, AICC,kuelezea hatua ya maandalizi ya mkutano mkuu wa siku mbili wa mwaka wa wadau waLAPF.

Amesema mkutanohuo utafunguliwa na Waziri mk
uu waJamhuri ya muungano wa Tanzania,Mh,Majaliwa KassimMajaliwa,Marchi 10 mwaka huu ambapo zaidi ya wanachama 1000 wa mfuko huo wanatarajiwa kuhudhuria.

Awali MenejaMawasiliano na Masoko wa LAPF,James Mloe, amesema kuwa kwenye mkutano huokutawasilishwa mada mbalimbali zikiwemo Uendeshaji wa shughuli za mfukohuo, Hesabu zilizokaguliwa na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali(CAG)za mwaka 2015/16ambapo mfuko huo umepata hati safi ya ukaguzi wa hesabu, Ukusanyaji wa michango ulipaji wa mafao kwa wanachama na uwekezaji,Utawala bora na usimamizi wa uendeshajiwa mfukohuo na Raslimali fedha.

Amesema sikuya kwanza ya mkutano huo Marchi 9 kwa kuzingatia kuwa ni siku ya Figo dunianimfuko umeandaa upimaji wa figo bure kwa wanachama wote ambao utafanywa naMadaktari bingwa

.Mloe,amesema siku ya pili yamkutano huoWaziri mkuu Kassim Majaliwa atazindua program mpya ya mikopo kwa wanachama kwa kushirikiana na benki ya CRDB,iitwayo Maisha popote ambao ni mkopo wakwanza kutolewa na mfuko huo.

Amesemakauli mbiu ya mwaka huu ni kuibua fursa endelevu za ajira kwa maendeleo endelevu kwa watanzania.Kuhusuuwekezaji kwenye viwanda,Mloe, amesema kuwa LAPF, imeweka mitaji kwenye viwanda ambako tayari wameweka hisa zao .

Amesema kuwaLAPF, haiwezi kujenga viwanda na kuvisimamia uendeshaji wake bali itaweka mitajina kusisitiza kuwa LAPF itabakia kwenye jukumu lake la msingi la kulindamichango ya wanachama wake.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MKUU KUFUNGUA MKUTANO WA LAPF, JIJINI ARUSHA
WAZIRI MKUU KUFUNGUA MKUTANO WA LAPF, JIJINI ARUSHA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiB9c4BTwRPLseWCCNdbCmlFuf_3ndjeLkhLMSf0OOhL66cgwtSLTm4AZGsv3pxwRXM-d2vykM9eGPt3KuZhrnX4MhZKYIhrNk6Ndmp4wmH0zd3TfHPAXeq8uQdKqqJ5owhqK-BhMeCUys/s320/unnamed.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiB9c4BTwRPLseWCCNdbCmlFuf_3ndjeLkhLMSf0OOhL66cgwtSLTm4AZGsv3pxwRXM-d2vykM9eGPt3KuZhrnX4MhZKYIhrNk6Ndmp4wmH0zd3TfHPAXeq8uQdKqqJ5owhqK-BhMeCUys/s72-c/unnamed.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/waziri-mkuu-kufungua-mkutano-wa-lapf.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/waziri-mkuu-kufungua-mkutano-wa-lapf.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy