WAVUVI WA KIJIJI CHA NUNGWI WALALAMIKIA UVUVI HARAMU KATIKA BAHARI YAO NA KWENDA MAENEO YA MBALI KUVUA

Mwananchi Mvuvi wa Kijiji cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali kuhusiana na uvuvi ...

Mwananchi Mvuvi wa Kijiji cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali kuhusiana na uvuvi haramu unaofanywa na baadhi ya makampuni katika ukanda wao wa bahari ya nungwi kwa kutumia bunduki na mishare wakati wa uvuvi wao na kuwakimbiza samaki katika maeneo hayo na wao inawalazimu kwenda kuvua seheme ya mbali na eneo hilo kutokana na samaki kukimbilia maeneo mengine, wameitaka taasisi husika kulichunguza hili. ili mkuepusha uvuvi huo haramu katika pwani yao.
Mwananchi wa Kijiji cha nungwi Unguja akizungumza na waandishi wa habari kero yao kwa waandishi kutokana na kukithiri vitendo vya uvuvi haramu jua Serikali inapiga vita uvuvi huo bado kuna watu wanatumia bunduki na mishare katika uvuvi huo.Wao wameachana na uvuvi haramu wa kutumia nyavu za matundu madogo na kuendelea kuvua kwa uvuvi unaotakiwa na Serikali kwa kutumia nyavu za macho makubwa.  


Wavuvi wa Kijiji cha Nungwi wakiwa katika eneo la ufukwe wa bahari hiyo wakati wakiongea na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali waliofika katika ukanda huo wa pwani ya nungwi wakiwa katika kazi zao za kawaida.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAVUVI WA KIJIJI CHA NUNGWI WALALAMIKIA UVUVI HARAMU KATIKA BAHARI YAO NA KWENDA MAENEO YA MBALI KUVUA
WAVUVI WA KIJIJI CHA NUNGWI WALALAMIKIA UVUVI HARAMU KATIKA BAHARI YAO NA KWENDA MAENEO YA MBALI KUVUA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjlqcalMn7msHveI377pnW8-8nJPl7ylA1SHABAzh-XkhlOGN5GTVFKVO8hmWAcHO2DFIH5JbkvnLfQDs3BngFjqB97CJE7OUYdEWvVlutJbzySxV4IDCcU0-OPEhpa9HOtMhbMVwleUsfE/s320/DSC_0004.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjlqcalMn7msHveI377pnW8-8nJPl7ylA1SHABAzh-XkhlOGN5GTVFKVO8hmWAcHO2DFIH5JbkvnLfQDs3BngFjqB97CJE7OUYdEWvVlutJbzySxV4IDCcU0-OPEhpa9HOtMhbMVwleUsfE/s72-c/DSC_0004.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/wavuvi-wa-kijiji-cha-nungwi-walalamikia.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/wavuvi-wa-kijiji-cha-nungwi-walalamikia.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy