WAFANYAKAZI WANAWAKE WA PPF WAUNGANA NA WENZAO KUSHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Baadhi ya wafanyakazi wanawake wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakifurahia wakati wa kusherehekea siku ya Wanawake Duniani kwenye viwanja...

Baadhi ya wafanyakazi wanawake wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakifurahia wakati wa kusherehekea siku ya Wanawake Duniani kwenye viwanja vya Mwembe-Yanga wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, Machi 8, 2018.






NA K-VIS BLOG/Khalfan Said
WAFANYAKAZI Wanawake wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, leo Machi 8, 2017, wameungana na wenzao katika kusherehekea siku ya Wanawake Duniani kwenye viwanja vya Mwembe- Yanga
jijini Dar es Salaam.
Katika maadhimisho hayo yaliyohanikizwa na mvua za rasharasha, wanawake hao wakiwa na furaha, walipita mbele ya viongozi wakuu wa mkoa na kuonhyesha mabango yao
yaliyokuwa na ujumbe tofauti tofauti.
Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Mwaka huu yanaongozwa na  kauli mbiu isemayo “Tanzania
ya viwanda, Wanawake ndio Msingi wa Mabadiliko ya Kiuchumi”
.
Kauli mbiu hiyo inalenga kuikumbusha jamii kuhusu umuhimu wa kujenga mazingira wezeshi kwa Wanawake  hasa kutambua mchango wao  katika kuleta Maendeleo yao na
ya jamii kwa ujumla.
Katika maadhimisho hayo ya siku ya Wanawake Duniani Mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaviva, ambaye alimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ambaye awali Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
ilisema Mkuu huyo wa Mkoa ndiye angekuwa mgeni rasmi lakini hakutokea.
Katika hotuba yake, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, alisema  jamii inapaswa kutimiza wajibu wake ikiwa ni pamoja na kuwashirikisha, kuwaamini na kuwapa Wanawake haki sawa katika nafasi za Elimu, Uchumi na uongozi ili wawe chachu ya mabadiliko yenye lengo la kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda.


 Baadhi ya akina mama wa taasisi ya THTU nao wakipita mbele ya jukwa kuu


Baadhi ya wafanyakazi wanawake wa Mfuko wa Pensheni
wa PPF, wakipita mbele ya jukwaa kuu wakati wa kusherehekea siku ya Wanawake Duniani kwenye viwanja vya Mwembe-Yanga wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, Machi 8, 2018.





 Mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, Felix Lyaviva, (kushoto), akiteta jambo na Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando, wakati wakipokea maandamano ya akina mama. Lyaviva alimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.




 Baadhi ya wanawake wa TANESCO nao wakipita mbele ya jukwaa kuu






 Mwanadada mwenye kipaji cha kusakata kabumbu akionyesha umahiri wake, hii ilikuwa ni sehemu ya burudani zilizokuwepo uwanjani


Picha ya pamoja ikionyesha wafanyakazi wanawake ya PPF walioshiriki kwenye maadhimisho hayo.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAFANYAKAZI WANAWAKE WA PPF WAUNGANA NA WENZAO KUSHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
WAFANYAKAZI WANAWAKE WA PPF WAUNGANA NA WENZAO KUSHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi1OmMds2pXbbV-MPHl3uErywc5m7W9N2rdCr_Ilg1dw4ehMTAwEwZNS7lnWFbiULdvT4evHOfHSR8h9bjpKhLDym6ijA749NETuYZhQustx16w9xXZfsAkC3Lu2gjApYYaM1fAdyIunW4/s640/5R5A5245.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi1OmMds2pXbbV-MPHl3uErywc5m7W9N2rdCr_Ilg1dw4ehMTAwEwZNS7lnWFbiULdvT4evHOfHSR8h9bjpKhLDym6ijA749NETuYZhQustx16w9xXZfsAkC3Lu2gjApYYaM1fAdyIunW4/s72-c/5R5A5245.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/wafanyakazi-wanawake-wa-ppf-waungana-na.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/wafanyakazi-wanawake-wa-ppf-waungana-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy