VIDEO MHESHIMIWA TUNDU LISSU ALIVYOTOKA MAHAKAMANI LEO TAYARI KWENDA ARUSHA KWA UCHAGUZI WA TLS

Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe. Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari nje ya Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo baada y...

Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe. Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari nje ya Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo baada ya kupata dhamani na kusema ataondoka na ndege jioni hii, kuelekea jijini Arusha kushiriki uchaguzi wa Rais wa Chama cha Wanasheria nchini (TLS) unaotarajiwa kufanyika jijini humo Machi 18, 2017. Pamoja naye (kulia kwake) ni Mbunge wa Arusha Mjini, Mhe. Godbless Lema pamoja na mashabiki wake. 

Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe. Tundu Lissu akisalimia na Mama Wema, Miriam Sepetu baada ya kutoka Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo.

Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe. Tundu Lissu akiongea na Mbunge wa Arusha Mjini, Mhe. Godbless Lema muda mfupi baada ya kutoka mahakama ya Kisutu Dar es Salaam leo. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogspot)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: VIDEO MHESHIMIWA TUNDU LISSU ALIVYOTOKA MAHAKAMANI LEO TAYARI KWENDA ARUSHA KWA UCHAGUZI WA TLS
VIDEO MHESHIMIWA TUNDU LISSU ALIVYOTOKA MAHAKAMANI LEO TAYARI KWENDA ARUSHA KWA UCHAGUZI WA TLS
https://i.ytimg.com/vi/Vldt01CW0vM/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/Vldt01CW0vM/default.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/video-mheshimiwa-tundu-lissu-alivyotoka.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/video-mheshimiwa-tundu-lissu-alivyotoka.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy