UZINDUZI WA FILAMU YA RAY YA GATE KEEPER WAFANA

 Msanii na mtayarishaji wa Filamu ya Gate Keeper, Vicent Kigosi 'Ray' akizungumza na Waandishi wa habari kabla ya kuanza ...


 Msanii na mtayarishaji wa Filamu ya Gate Keeper, Vicent Kigosi 'Ray' akizungumza na Waandishi wa habari kabla ya kuanza kwa uzinduzi wa filamu yake ya GateKeeper.
 
 Mkurugenzi Mwenza wa Kampuni ya Rj Company Blandina Chagula 'Johari ' akiwa na baadhi ya Mashabiki wa Bongo Movie.
 
 Msanii wa filamu nchini Vicent Kigosi 'Ray' akiwa na Mwandishi na mtunzi wa filamu ya Gate Keeper Ally Yakuti kabla ya kuanza kuonyeshw akwa fimau hiyo katika ukumbi wa Quality Centre.
 
 Wasanii walioshiriki katika filamu ya Gatekeeper wakiwa katika picha ya pamoja ya zuria jekundu kabla ya kuingia katika ukumbi wa cinema.
 
 
 Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Joyce Fissoo akizungumza na wadau wa filamu waliofika kushuhudia uzinduzi wa filamu ya Gatekeeper.
 
 
 Msanii wa filamu na mtayarishaji wa filamu ya Gatekeeper Vicent Kigosi akizungumza na mashabaiki na wadau wa filamu waliofika katika uzinduzi wa filamu hiyo katika ukumbi wa Quality Centre.
 
 Baadhi ya Wasanii waliofika katika uzinduzi wa Filamu hiyo wakiwa na Gambo Zigamba ndani ya ukumbi wa Quality Centre.
 
Wadau wa filamu wakifatilia uzinduzi wa filamu hiyo kwa umakini.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: UZINDUZI WA FILAMU YA RAY YA GATE KEEPER WAFANA
UZINDUZI WA FILAMU YA RAY YA GATE KEEPER WAFANA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhSNRtu7XrSyAL_iiFPbstoubzjmO8YoaNTU7GR7rV4GHKMBzlysXQ0xTOIBlHfw4mu2wgRfboJMz5H9uzxc9TEXK-9rpha1zET7bRmxyvTXRilAuNhkR97fYm6xMuNatvqYxMPTD1r6j9w/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhSNRtu7XrSyAL_iiFPbstoubzjmO8YoaNTU7GR7rV4GHKMBzlysXQ0xTOIBlHfw4mu2wgRfboJMz5H9uzxc9TEXK-9rpha1zET7bRmxyvTXRilAuNhkR97fYm6xMuNatvqYxMPTD1r6j9w/s72-c/1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/uzinduzi-wa-filamu-ya-ray-ya-gate.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/uzinduzi-wa-filamu-ya-ray-ya-gate.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy