TIMU YA TAIFA YA RIADHA YAKABIDHIWA BENDERA YAELEKEA UGANDA NA MATUMAINI YA KUREJEA NA MEDALI

Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) Anthony Mtaka akikabidhi Bendera kwa manahodha wa timu ya taifa ya riadha kwa upande wa wa...



Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) Anthony Mtaka akikabidhi Bendera kwa manahodha wa timu ya taifa ya riadha kwa upande wa wanaume, Fabian Joseph (kushoto) na Magdalena Shauri (kulia) Wengine ni Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Nyamakumbati Mafuru (mwenye miwani), Meneja Mawasiliano wa TANAPA, Pascal Shelutete na Meneja wa timu ya taifa ya riadha Meta Petro (kushoto).

Raisi wa Shirikisho la Riadha Tanzania ,Anthony Mtaka akizungumza na wanariadha 28 wanaoelekea nchini Uganda kwa ajili ya Mashindano ya Dunia ya Mbio za Nyika wakati wa hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika katika ofisi za Makao Makuu ya TANAPA jijini Arusha.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Nyamakumbati Mafuru akitoa neno kwa wanariadha hao,Shirika la Hifadhi za Taifa ndilo limedhamini wanariadha hao ambao idadi yao katika ushiriki wa mbio hizo imevunja rekodi ya tangu mwaka 1991.
Baadhi ya wanariadha watakao iwakilisha nchi katika mashindano hayo yatakayofanyika jumapili hii.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) Whilleam Gidabuday akizungumza wakati wa hafala hiyo.
Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga wanariadha wa timu ya taifa iliyoandaliwa na shirika hilo jijini Arusha.
Kikosi cha wanariadha 28 na viongozi 12 kitakachopeperusha Bendera ya Taifa nchini Uganda katika Mashindano ya Dunia ya Mbio za Nyika yatakayofanyika Jumapili hii katika mji wa Entebe.

(Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TIMU YA TAIFA YA RIADHA YAKABIDHIWA BENDERA YAELEKEA UGANDA NA MATUMAINI YA KUREJEA NA MEDALI
TIMU YA TAIFA YA RIADHA YAKABIDHIWA BENDERA YAELEKEA UGANDA NA MATUMAINI YA KUREJEA NA MEDALI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhXFkinUzFxA0gNhSvPwt2qJ3Ejk9Ra7syp-P5df2-tW7ZxSXMHJCeQ8xrUA-8dV7yE8zpipOUPRuTlEUgwsPKJ8unMkmet5LlD8sFAvDNeJ2ztQ_HuIjd5qzDVMxKpdLn48sp0lK2HWIfS/s640/IMG_3443.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhXFkinUzFxA0gNhSvPwt2qJ3Ejk9Ra7syp-P5df2-tW7ZxSXMHJCeQ8xrUA-8dV7yE8zpipOUPRuTlEUgwsPKJ8unMkmet5LlD8sFAvDNeJ2ztQ_HuIjd5qzDVMxKpdLn48sp0lK2HWIfS/s72-c/IMG_3443.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/timu-ya-taifa-ya-riadha-yakabidhiwa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/timu-ya-taifa-ya-riadha-yakabidhiwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy