Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Mtwara katika siku ya mwisho wa ziara y...
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
wananchi wa Mtwara katika siku ya mwisho wa ziara yake katika Viwanja
vya Mashujaa mkoani Mtwara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
wananchi wa Mtwara katika siku ya mwisho wa ziara yake katika Viwanja
vya Mashujaa mkoani Mtwara.
Wananchi
wa Mtwara wakifurahia hotuba iliyokuwa ikitolewa na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Viwanja vya
mashujaa mkoani Mtwara
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaaga
wananchi wa Mtwara mara baada ya kumaliza kuwahutubia katika viwanja vya
Mashujaa mkoani Mtwara-PICHA NA IKULU
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaaga
wananchi wa Mtwara mara baada ya kumaliza kuwahutubia katika viwanja vya
Mashujaa mkoani Mtwara-PICHA NA IKULU
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote mara
baada ya kuwasili kiwandani hapo kwa ajili ya kuzindua magari 580 ya
kusafirisha saruji nchini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote mara
baada ya kumkabidhi barua ya malalamiko kutoka kwa madereva
wanaolalamikia utoaji wa ajira hizo kiwandani hapo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
katika viwanja hivyo vya kiwanda cha Dangote kabla kuzindua magari 580
ya kiwanda hicho yatakayosafirisha saruji nchini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote wakikata
utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Magari makubwa ya kusafirishia Saruji
kiwanda hapo. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mtwara Halima Dendego.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote mara
baada ya kukagua kiwanda chake cha Saruji mkoani Mtwara.
Mmiliki
wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote akimuonesha Rais
Dkt. Magufuli sehemu ya Kiwanda hicho pamoja na vifaa vyake mkoani
Mtwara.
Rais
Dkt. Magufuli akizungumza jambo na mmiliki huyo wa Kiwanda akiwa na
mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Alhaji Aliko Dangote
wakipeperusha bendera kuashiria uzinduzi rasmi wa Magari hayo 580.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la msingi Mradi wa Kituo cha
kupooza umeme kwa ajili ya kuusambaza katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendego na Waziri
wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria kuzindua kituo cha
kupooza umeme kwa ajili ya kuusambaza katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendego na Waziri
wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wafanyakazi wa TANESCO mara baada
ya kuweka jiwe la msingi la kituo cha kupooza umeme kwa ajili ya
kuusambaza katika mikoa ya Lindi na Mtwara kilichopo mkoani Mtwara.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia kabla ya kuweka jiwe la msingi la
kituo cha kupooza umeme kwa ajili ya kuusambaza katika mikoa ya Lindi na
Mtwara kilichopo mkoani Mtwara.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika kituo hicho cha kupooza umeme
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika ibada ya jumapili ya kwanza ya
kwaresma katika kanisa la Katoliki la Watakatifu Wote jimbo la Mtwara.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika ibada ya jumapili ya kwanza ya
kwaresma katika kanisa la Katoliki la Watakatifu Wote jimbo la Mtwara.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwatakia heri waumini wa kanisa la Katoliki la Watakatifu Wote jimbo la Mtwara.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika ibada ya jumapili ya kwanza ya
kwaresma katika kanisa la Katoliki la Watakatifu Wote jimbo la Mtwara.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waumini hao wa kanisa la Katoliki la Watakatifu Wote jimbo la Mtwara
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wanafunzi wa Shule za Sekondari
mara baada ya kusali katika kanisa la Katoliki la Watakatifu Wote jimbo
la Mtwara. (PICHA NA IKULU)
COMMENTS