Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa na Mhe, Airlangga Hartarto miongo...
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akiwa na Mhe, Airlangga Hartarto miongoni mwa Viongozi wakuu
Nchini Indonesia pamoja na Viongozi wa wengine wa Nchi hiyo pia akiwepo
na Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Mhe, Hamad Rashid Mohamed
(kulia) alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Nchi Indonesia,Rais Shein
anamuwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Mkutano wa Jumuiya ya
Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi IORA Nchini Indonesia, [Picha na
Ikulu.] 05/3/2017.
COMMENTS