NAMAINGO YATOA ELIMU BURE WAKAZI DAR KUHUSU UJASIRIAMALI

 Mkurugenzi wa Taasisi  ya Namaingo Business Agency Tanzania Limited, Ubwa Ibrahim akitoa elimu ya ujasiriamali kwa wakazi wa Jiji la Dar...

 Mkurugenzi wa Taasisi  ya Namaingo Business Agency Tanzania Limited, Ubwa Ibrahim akitoa elimu ya ujasiriamali kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam katika Makao Makuu ya Taasisi hiyo, Ukonga, Dar es Salaam jana. (PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)

Aliwapiga msasa kuhusu ufugaji wa kisasa wa kuku,sungura, samaki pamoja na kilimo biashara pia na jinsi ya kuwaunganisha na taasisi za kifedha na serikali ili kuwarahisishia kupata mikopo ya kuendeleza miradi. Pia aliwafundisha jinsi ya kupata masoko ya bidhaa zao.

 Bi Ubwa Ibrahim akihojiwa na vyombo vya habari baada ya semina hiyo


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAMAINGO YATOA ELIMU BURE WAKAZI DAR KUHUSU UJASIRIAMALI
NAMAINGO YATOA ELIMU BURE WAKAZI DAR KUHUSU UJASIRIAMALI
https://2.bp.blogspot.com/-WcEkIMoMTQU/WLwSpUk5tTI/AAAAAAABDQE/vfV_238_xIkQlJaMSoVHOeFXqytSgxBOwCLcB/s640/01.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-WcEkIMoMTQU/WLwSpUk5tTI/AAAAAAABDQE/vfV_238_xIkQlJaMSoVHOeFXqytSgxBOwCLcB/s72-c/01.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/namaingo-yatoa-elimu-bure-wakazi-dar.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/namaingo-yatoa-elimu-bure-wakazi-dar.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy