AHADI ZA RAIS DKT. MAGUFULI ZATEKELEZWA KATIKA ZIARA YAKE MIKOA YA KUSINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki la Watakatifu Wot...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki la Watakatifu Wote Jimbo la Mtwara Fr. Patrick Mwaya mara baada ya mahubiri katika Kanisa hilo Jumapili. Rais Dkt. Magufuli amechangia Kanisa hilo Mifuko 200 ya Saruji kwa ajili ya kuendeleza kazi ya ujenzi wa uzio Kanisani hapo.
 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia Waumini  wa Kanisa Katoliki la Watakatifu Wote Jimbo la Mtwara mara baada ya mahubiri.
 
 Kaimu Katibu wa Rais Ikulu, Ngusa Samike (kushoto) akimkabidhi Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki la Watakatifu Wote Jimbo la Mtwara Fr. Patrick Mwaya mifuko 200 ya Saruji ili kutimiza Ahadi ya Rais aliyoitoa kanisani hapo.
 
 Kaimu Katibu wa Rais Ikulu, Ngusa Samike (kushoto) akimkabidhi fedha kiasi cha Shilingi Milioni 35 kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi ili kutekeleza ahadi aliyoitoa Rais wakati alipopita katika Kijiji cha Somanga na Mnonela. Katika kijiji cha Somanga Rais Dkt. Magufuli aliahidi kuchangia kiasi cha Shilingi Milioni 20, kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya na kwa upande wa Mnonela aliahidi kiasi cha Shilingi milioni 15 kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa Kituo cha Afya.
 Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi akisaini kuthibitisha kupokea kiasi hicho cha fedha ambazo ni utekelezaji wa ahadi za Rais Dkt. Magufuli wakati alipofanya ziara mkoani humo.
 
 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika kituo cha Afya mnonela katika Jimbo la Mtama ambapo aliahidi kuchangia kiasi cha fedha Shilingi Milioni 15 ambazo tayari Mkuu wa Mkoa wa Lindi ameshakabidhiwa.
  (PICHA NA IKULU)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: AHADI ZA RAIS DKT. MAGUFULI ZATEKELEZWA KATIKA ZIARA YAKE MIKOA YA KUSINI
AHADI ZA RAIS DKT. MAGUFULI ZATEKELEZWA KATIKA ZIARA YAKE MIKOA YA KUSINI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgy39G1QAWfVkUWM9WCgWGgnpC1urBDbfQUY1ictIYoSNH4uX2tmwOPXvObGPTHPQjAK8H1uR9WhiGm38yqLsIHhUt6K1XYqmQbrac8EVJ1SBIMqK6vvfz57gGRdN9OA875nZRWbsyeBCA/s640/unnamed+%252859%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgy39G1QAWfVkUWM9WCgWGgnpC1urBDbfQUY1ictIYoSNH4uX2tmwOPXvObGPTHPQjAK8H1uR9WhiGm38yqLsIHhUt6K1XYqmQbrac8EVJ1SBIMqK6vvfz57gGRdN9OA875nZRWbsyeBCA/s72-c/unnamed+%252859%2529.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/ahadi-za-rais-dkt-magufuli-zatekelezwa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/ahadi-za-rais-dkt-magufuli-zatekelezwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy