INTERNEWS TANZANIA YAWAKUTANISHA WANAHABARI KUJADILI SHERIA YA MTANDAO NA TAKWIMU

Mkurugenzi wa Miradi wa Internews Tanzania, Wenceslaus Mushi akizungumza na washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakili...



Mkurugenzi wa Miradi wa Internews Tanzania, Wenceslaus Mushi akizungumza na washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) katika majadiliano ya Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Miradi wa Internews Tanzania, Wenceslaus Mushi akizungumza na washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) katika majadiliano ya Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam.

Mmoja wa wadau wa habari (kulia) akiwasilisha mada katika mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliandaliwa na taasisi ya Internews Tanzania. Mmoja wa wadau wa habari (kulia) akiwasilisha mada katika mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliandaliwa na taasisi ya Internews Tanzania.


Sehemu ya washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliandaliwa na taasisi ya Internews Tanzania. Sehemu ya washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliandaliwa na taasisi ya Internews Tanzania.

Sehemu ya washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliandaliwa na taasisi ya Internews Tanzania. Sehemu ya washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliandaliwa na taasisi ya Internews Tanzania.

Sehemu ya washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Wamiliki na Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii (TBN-Bloga ) akiwa katika mjadala huo. Sehemu ya washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Wamiliki na Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii (TBN-Bloga ), Joachim Mushi na washiriki wengine wakiwa katiwa mjadala huo.



Mmoja wa wadau wa habari (katikati) akiwasilisha mada katika mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Miradi wa Internews Tanzania, Wenceslaus Mushi. Mmoja wa wadau wa habari (katikati) akiwasilisha mada katika mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Miradi wa Internews Tanzania, Wenceslaus Mushi.



Mwanasheria na Mwanahabari, James Marenga akiwasilisha mada kwa washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) katika majadiliano ya Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Mwanasheria na Mwanahabari, James Marenga akiwasilisha mada kwa washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) katika majadiliano ya Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam.


Baadhi ya washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu leo jijini Dar es Salaam. Baadhi ya washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu leo jijini Dar es Salaam.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: INTERNEWS TANZANIA YAWAKUTANISHA WANAHABARI KUJADILI SHERIA YA MTANDAO NA TAKWIMU
INTERNEWS TANZANIA YAWAKUTANISHA WANAHABARI KUJADILI SHERIA YA MTANDAO NA TAKWIMU
http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2017/01/IMG_1517.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/internews-tanzania-yawakutanisha.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/internews-tanzania-yawakutanisha.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy