ZAIDI YA MILIONI 340 ZAPATIKANA KATIKA UZINDUZI WA BODI YA UDHAMINI DHIDI Y UKIMWI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mu u ngano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye u zinduzi wa Bodi ya Udhamini dhid...







 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye uzinduzi wa Bodi ya Udhamini dhidi ya Ukimwi uliofanyika Disemba Mosi kwenye hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe katika vitendea kazi kama ishara ya Uzinduzi wa Bodi ya Udhamini dhidi ya Ukimwi uliofanyika tarehe 1 Disemba kwenye hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam

 Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akionyesha vitendea kazi atakavyovikabidhi kwa bodi mara baadaya ya kuizindua  Bodi ya Udhamini dhidi ya Ukimwi uliofanyika tarehe 1 Disemba kwenye hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam

Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini dhidi ya Ukimwi Bw. Godfrey Simbeye vitendea kazi vya bodi hiyo mpya katika hafla ya uzinduzi wa bodi hiyo
uliofanyika tarehe 1 Disemba kwenye hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.


                  ................................................................................................... 

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua Bodi ya Udhamini dhidi ya UKIMWI na kuwagawia vitendea kazi sambamba na uzinduzi wa mpango wa hiari wa familia
kuchangia mfuko wa UKIMWI, shughuli iliyokwenda sambamba na maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani ambayo huadhimishwa duniani kote Disemba Mosi.


Madhumuni ya Bodi hiyo ni kujenga nguvu ya ndani ya kifedha pamoja na kuhakikisha uwepo wa rasilimali za kutosha katika kupambana na ugonjwa wa Ukimwi ambao bado ni tishio huku tafiti za mwaka 2015 zikionesha kuwa takribani watu 48,000 huambukizwa VVU kila mwaka nchini, huku watu milioni 1.5 wakiishi na VVU kati yao wastani wa laki nane wanatumia dawa za kufubaza virusi vinavyosababisha UKIMWI.

Akizungumza katika uzinduzi huo, Makamu wa Rais amesema kazi kubwa ya kutafuta kutunisha mfuko itakuwa ni chachu katika kupambana na ugonjwa huo na kuitaka bodi hiyo kubuni mbinu za kutunisha mfuko huo kufuatia ukweli kwamba uhisani una mwisho na uhisani una vipaumbele vyake kutokana na wakati husika.

Katika harambee iliyofanyika jana usiku wakati wa uzinduzi wa bodi hiyo, zaidi ya milioni 340 zilipatikana.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: ZAIDI YA MILIONI 340 ZAPATIKANA KATIKA UZINDUZI WA BODI YA UDHAMINI DHIDI Y UKIMWI
ZAIDI YA MILIONI 340 ZAPATIKANA KATIKA UZINDUZI WA BODI YA UDHAMINI DHIDI Y UKIMWI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhd55FAD-gSR_G2ILYmlzwT2AqkPn7eKkTmqFkw2aEbtqSVrCqd7Ha4nTlOouPiksnxXSX1NIH3iwQhsPplvAJN2YuwRdxop7REIJQmh8_qGudCGD3MB7I0X8oL1gd3Ezob4bRIIH_xwn4/s640/8.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhd55FAD-gSR_G2ILYmlzwT2AqkPn7eKkTmqFkw2aEbtqSVrCqd7Ha4nTlOouPiksnxXSX1NIH3iwQhsPplvAJN2YuwRdxop7REIJQmh8_qGudCGD3MB7I0X8oL1gd3Ezob4bRIIH_xwn4/s72-c/8.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/12/zaidi-ya-milioni-340-zapatikana-katika.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/12/zaidi-ya-milioni-340-zapatikana-katika.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy