Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Balozi ...
|
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt.
Augustine Mahiga akisalimiana na Balozi wa Cuba nchini Mhe. Jorge Luis
Lopez Tormo alipowasili nyumbani kwa Balozi huyo mapema leo kusaini
kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais Msataafu wa Cuba Fidel
Castrol, Jijini Dar es Salaam |
|
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt.
Augustine Mahiga akimfariji Balozi wa Cuba nchini Mhe. Jorge Luis Lopez
nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam kabla ya kusaini kitabu cha
maombolezo |
|
|
Mhe.
Waziri Balozi Dkt. Augustine Mahiga akitoa heshima mbele ya picha ya
Rais wa zamani wa Cuba hayati Fidel Castro alipoenda kusaini kitabu cha
maombolezo |
|
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisaini kitabu cha maombolezo. |
COMMENTS