RAIS MAGUFULI AWAONGOZA WATANZANIA SHEREHE ZA MIAKA 55 YA UHURU, KOMANDOO WAONYESHA MAAJABU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi waliojitokeza...









Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi waliojitokeza katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. 
 
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi waliohudhuria sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili. 
 
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama wakati wimbo wa Taifa ulipokuwa ukipigwa uwanjani hapo. 
 
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. 
 
 

Vikosi mbalimbali vya Majeshi vikipita mbele ya mgeni Rasmi kwa mwendo wa pole na Haraka katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. 
 
 
Kikosi cha Maadhimisho cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania kikionesha gwaride la kimyakimya mbele ya Amiri Jeshi mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Uhuru.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mama Fatma Karume mara baada ya kumaliza kuhutubia katika uwanja wa Uhuru. 
 
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wananchi katika uwanja wa Uhuru mara baada ya kumalizika kwa sherehe hizo. 
 
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembea pamoja na Askari Polisi ambao huongoza misafara ya viongozi VIP riders mara baada ya kuwasili Ikulu wakati wakitokea katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. 
 
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi mara baada ya Kuwasili katika uwanja wa Uhuru. 
 
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda mara baada ya kuwasili. 

 

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,BungeKazi,Ajira,Vijana na Wenyeulemavu Jenister Muhagama mara alipowasili katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kushiriki nkatika sherehe za Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania bara 
 



 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na  Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman  alipowasili katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kushiriki nkatika sherehe za Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania bara

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika sherehe za Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania bara zilizofanyika leo

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwasili  katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kuhudhuria katika sherehe za Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania bara zilizofanyika leo


 Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akikagua gwaride maalum la Vikosi vya Ulinzi na Usalama mara alipowasili katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kuhudhuria katika sherehe za Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania bara zilizofanyika leo


Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akikagua gwaride maalum la Vikosi vya Ulinzi na Usalama mara alipowasili katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kuhudhuria katika sherehe za Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania bara zilizofanyika leo
Amiri Jeshi Mkuu  na Rais wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (katikati) akitembea kikakamavu  na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Devis Mwamunyange baada ya kukagua gwaride maalum la Vikosi vya Ulinzi na Usalama  katika sherehe za Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania bara zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.



 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leoDesemba 9, 2016 amewaongoza mamilioni ya watanzania kusherehekea Uhuru wa Tanzania Bara kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, ambapo kivutio kikubwa kilikuwa kikosi maalum cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Makomandoo ambapo pamoja na kuonyesha umahiri wao katika medani za kivita, lakini kubwa ni komandoo hao kulala juu ya misumari yenya ncha huku wengine wakimkanyaga mwenzao aliyelalia misumari, kifuani. Pichani Komandoo huyo akionyesha maajabu hayo. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
 Komandoo wakionyesha jinsi ya kupambana na adui bila ya kutumia silaha.
 
 
 Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais John Magufuli, akikagua hwaride wakati wa maadhimisho hayo.
 
 
 
 Rais aksialimiana na Waziri Mkuu, Mh. Kassim Majaliwa
 Makamu wa Rais, Bibi Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa
 
 Baadhi ya wananchi wakitazama kutokea uwanja waTaifa kilichokuwa kikiendelea kwenye uwanja wa Uhuru
 Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein
Amiri Jeshi waMjeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais John Magufuli, akiwa na Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange, akiwapungia wananchi wakati akiwasili kwenye uwanja wa Uhuru akiwa kwenye gari la wazi la Kijeshi
 
 
 

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS MAGUFULI AWAONGOZA WATANZANIA SHEREHE ZA MIAKA 55 YA UHURU, KOMANDOO WAONYESHA MAAJABU
RAIS MAGUFULI AWAONGOZA WATANZANIA SHEREHE ZA MIAKA 55 YA UHURU, KOMANDOO WAONYESHA MAAJABU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhdokHnhofhfhNucBMVZomd2TOeW2FlZCIuvdudqHIYdOpknvHFE7fsa4e2TmKrixL0QiwJW3hF9gtaLHhnWNmASSYv29K6QhpDGG6ni7yuNkChcgsd-_3DlQe7jNZxiJRkFhwtkx075Xtr/s640/1..%252C.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhdokHnhofhfhNucBMVZomd2TOeW2FlZCIuvdudqHIYdOpknvHFE7fsa4e2TmKrixL0QiwJW3hF9gtaLHhnWNmASSYv29K6QhpDGG6ni7yuNkChcgsd-_3DlQe7jNZxiJRkFhwtkx075Xtr/s72-c/1..%252C.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/12/rais-magufuli-awaongoza-watanzania.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/12/rais-magufuli-awaongoza-watanzania.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy