PROFESA MUKANDALA ATUNUKIWA TUZO YA KISWAHILI

Balozi wa Kiswahili Afrika, Mama Salma Kikwete akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili kwenye hafla ya kumtunuku tuzo ya Kis...







Balozi wa Kiswahili Afrika, Mama Salma Kikwete akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili kwenye hafla ya kumtunuku tuzo ya Kiswahili Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala jijini Dar es Salaam jana

Wana taalum wa Kiswahili na wageni wakiwa katika hafla hiyo.

Vingozi wa UDSM pamoja na wana taalum wa Kiswahili na wageni wakiwa katika hafla hiyo.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (TATAKI), Dk Ernesta Mosha akiongea kuwakaribisha katika hafla hiyo. 

Mgeni Rasmi, Mama Salma Kikwete akitoa risala fupi ya ufunguzi wa hafla hiyo.

Mgeni Rasmi, Mama Salma Kikwete akimpongeza kwa mchango wake mkubwa kuchajisha matumizi ya lugha ya Kiswahili Chuoni hapo wakati wa uongozi wake hafla hiyo.

Mgeni Rasmi, Mama Salma Kikwete akimkabidhi tuzo hiyo Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala jijini Dar es Salaam Disemba 1 2016.

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala akioonesha tuzo hiyo kwa wageni.

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala akidadavua kilichoandikwa kwenye tuzo hiyo na kuwashukuru kwa heshima kubwa waliyompa na ushirikianiano mzuri katika uongozi wake.

Wana taalum wa Kiswahili na wageni wakiwa katika hafla hiyo

Wana taalum wa Kiswahili na wageni wakiwa katika hafla hiyo

Balozi wa Kiswahili Afrika, Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja baadhi ya Manaibu Makamu wakuu wa UDSM, Kutoka (kushot, Profesa Florens Luoga, Profesa David Mfinanga, Profesa Cuthbert Kimambo na Katibu wa Baraza la Chuo hicho, Profesa  Palamagambo Kabudi.  Walioketi naye ni Makamu Mkuu wa UDSM, Profesa Rwekaza Mukandala na Mkurugenzi wa TATAKI, Dkt. Ernesta Mosha.

Balozi wa Kiswahili Afrika, Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja baadhi ya wana taaluma baada kutunuku tuzo ya Kiswahili Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala jijini Dar es Salaam jana

Balozi wa Kiswahili Afrika, Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja baadhi ya wana taaluma baada kutunuku tuzo ya Kiswahili Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala jijini Dar es Salaam jana

Balozi wa Kiswahili Afrika, Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja baadhi ya wana taaluma baada kutunuku tuzo ya Kiswahili Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala pamoja na Wana taalum TATAKI.

Balozi wa Kiswahili Afrika, Mama Salma Kikwete akiagana na wenyeji wake baada ya kuhitimisha hafla hiyo. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala.

Balozi wa Kiswahili Afrika, Mama Salma Kikwete akiagana na mmoja wa wanafunzi waliohudumu katika hafla hiyo. Kulia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala.

Balozi wa Kiswahili Afrika, Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mmoja wa wanafunzi waliohudumu katika hafla hiyo. Kulia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala.

Balozi wa Kiswahili Afrika, Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mmoja wa wanafunzi waliohudumu katika hafla hiyo. Mkurugenzi wa Taasisi ya Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (TATAKI), Dk Ernesta Mosha. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogspots)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: PROFESA MUKANDALA ATUNUKIWA TUZO YA KISWAHILI
PROFESA MUKANDALA ATUNUKIWA TUZO YA KISWAHILI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiWhyphenhyphenUe5GZtE9cRZSLKIZY102GyiDQmYdv9vfMxWIHSPsgW4tmO-zNFBZbhOHIUxgLrjaM0edZjpDvB8_3AHJcohVVmcu74LH1_R9vMP8lKzqrmQYc1Ru0mKOEN_veSgbwj_JV9r6sCLmc/s640/S1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiWhyphenhyphenUe5GZtE9cRZSLKIZY102GyiDQmYdv9vfMxWIHSPsgW4tmO-zNFBZbhOHIUxgLrjaM0edZjpDvB8_3AHJcohVVmcu74LH1_R9vMP8lKzqrmQYc1Ru0mKOEN_veSgbwj_JV9r6sCLmc/s72-c/S1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/12/profesa-mukandala-atunukiwa-tuzo-ya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/12/profesa-mukandala-atunukiwa-tuzo-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy