WAZIRI KHATIB ZANZIBAR AKABIDHI VYAKULA NA MATUNDA HOSPITALI YA ZANZIBAR.

Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum Zanzibar, Mhe Juma Ali Khatib akikabidhi msaada wa Matunda na Vyakula kwa Hospitali ya Mental K...









Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum Zanzibar, Mhe Juma Ali Khatib akikabidhi msaada wa Matunda na Vyakula kwa Hospitali ya Mental Kidongochekundu Zanzibar akipokea msaada huo Daktari Mkuu wa Hospitali hiyo Bi Zainab Kassim. Hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya hospitali hiyo huko Mental.
Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum Zanzibar Mhe Juma Ali Khatib akisalimiana na Mgaga Mkuu wa Hospitali ya Mental Kidongochekundu Zanzibar Bi Ruzuna Mohammed,wakati wa hafla ya kukabidhi msaada huo wa Matunda kwa ajili ya Wagonjwa wanaopata tiba katika hospitali hiyo Kuu Zanzibar. 
Mhe Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum Zanzibar Mhe Juma Ali Khatib, akizungumza na Viongozi baada ya kukabidhi msaada huo nac kuwataka Wananchi na Wafanyabiashara kujitokeza kusaidia Wagonjwa wa akili ili kusisikia wako katika mazingira mazuri na kupota misaada mbalimbali inayohitajika kwao na kwa jamii. 

(Imeandaliwa na OthmanMapara. Zanzinews.com

Mobile 0777424152).   

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI KHATIB ZANZIBAR AKABIDHI VYAKULA NA MATUNDA HOSPITALI YA ZANZIBAR.
WAZIRI KHATIB ZANZIBAR AKABIDHI VYAKULA NA MATUNDA HOSPITALI YA ZANZIBAR.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEibTExGnIs8JiD08b29F8WfE1sqIXWlKzC8kSHkGxI8GfA6Ra-uWQSUErUXBlM1Tqy2xNWHLokhaXMuy1CU9oc1_ae5l74kJvJw_rCfcN9DADTJbKEf25ub1v1fPZC4jiyCUssRO9Gctc7v/s640/DSC_0365.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEibTExGnIs8JiD08b29F8WfE1sqIXWlKzC8kSHkGxI8GfA6Ra-uWQSUErUXBlM1Tqy2xNWHLokhaXMuy1CU9oc1_ae5l74kJvJw_rCfcN9DADTJbKEf25ub1v1fPZC4jiyCUssRO9Gctc7v/s72-c/DSC_0365.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/waziri-khatib-zanzibar-akabidhi-vyakula.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/waziri-khatib-zanzibar-akabidhi-vyakula.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy