WANAHABARI WAPIGWA MSASA KUHUSU KINGATIBA YA MABUSHA, MATENDE, USUBI, KICHOCHO NA TRAKOMA

 Ofisa Mradi wa Mpango wa Magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele, Oscar Kaitaba akielezea umuhimu wa vyombo vya habari kuelimish...








 Ofisa Mradi wa Mpango wa Magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele, Oscar Kaitaba akielezea umuhimu wa vyombo vya habari kuelimisha umma kujenga tabia ya  kutumia Kingatiba ya magonjwa ya kichocho, Minyoo ya Tumbo, Usubi Matende na Mabusha wakati wa Warsha iliyoshirikisha wanahabari, Dar es Salaam leo. Kampeni ya kuwapatia wananchi Tibakinga kwa wakazi takribani mil. 4 wa Jiji la Dar es Salaam itaanza Oktoba 25 waka huu. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

 Meneja Mradi wa Mpango wa Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele, Upendo Mwingira akifafanua jambo wakati wa warsha hiyo.

 Wanahabari wakiwa katika warsha hiyo







 Mtangazaji wa BBC, Halima Kassim akitafakari jambo  kuhusu semina hiyo ya wanahabari kupata uelewa kuhusu magonjwa hayo na jinsi ya kuwaelimisha wananchi kutumia Kingatiba kwa kumeza  dawa mara noja kila mwaka ili kuboresha afya



 Mtaalamu Kaitaba akionesha baadhi ya dawa za Kingatiba ya magonjwa hayo



 Ofisa Habari wa Mradi huo, Said Makora akiwataka wanahabari kuwaelimiasha wananchi juu ya magonjwa hayo na jinsi ya kupata Kingatiba kwa kuandika makala, habari, majarida na kutumia mitandao ya kijamii kwa nia ya kuyatokomeza magonjwa hayo kufikia mwaka 2020.

 Kaitaba akionesha vifaa vinavyotumika kuwapima watu ili wapewe dawa kulingana na kimo chake.


 Mwandishi wa Habari wa Nipashe, Jasmin akichangia mada wakati wa semina hiyo.


 Wana habari wakipatiwa dawa za Kingatiba za magonjwa hayo



Mtangazaji wa E FM Radio akipimwa urefu ndipo apatiwe dawa.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WANAHABARI WAPIGWA MSASA KUHUSU KINGATIBA YA MABUSHA, MATENDE, USUBI, KICHOCHO NA TRAKOMA
WANAHABARI WAPIGWA MSASA KUHUSU KINGATIBA YA MABUSHA, MATENDE, USUBI, KICHOCHO NA TRAKOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiWIt4MmuVfl5a9hOXWSekbIl89bK0jYNXDarLKrR1gCgtxCIrTVD8P6wcgwILnuQ3Izdt_3oMpBw0HtcvnF68wCoCufVLWPTmGPezPPkvi7Zb60PBSKo4QZWvRgIGAQYkH9ouSaAcajxI/s640/01.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiWIt4MmuVfl5a9hOXWSekbIl89bK0jYNXDarLKrR1gCgtxCIrTVD8P6wcgwILnuQ3Izdt_3oMpBw0HtcvnF68wCoCufVLWPTmGPezPPkvi7Zb60PBSKo4QZWvRgIGAQYkH9ouSaAcajxI/s72-c/01.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/wanahabari-wapigwa-msasa-kuhusu.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/wanahabari-wapigwa-msasa-kuhusu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy