MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA) YAONGEZA VYANZO VIWILI VYA MAJI

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi, Prof Faustine Bee (kushoto) akimuon...








Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi, Prof Faustine Bee (kushoto) akimuongoza Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwenge kuelekea katika chanzo cha Mkashilingi kilichopo wilayani Hai kwa ajili ya uzinduzi. Kulia kwa Waziri ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA). Joyce Msiru. 

Waziri wa Maji na Uwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwenge akizungumza wakati wa uzinduzi wa chanzo cha maji cha Mkashilingi kilichopo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro.


Baadhi ya wananchi waliohudhuria uzinduzi huo wakimsilikiliza Waziri wa Maji na Umwagiliaji (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa chanzo cha Mkashilingi. 


Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Saidi Meck Sadiki akizungumza katika uzinduzi huo. 

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce Msiru akimueleza jambo Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge mara baada ya kujionea chanzo cha maji cha Mkashilingi. 


Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwenge akiwasili atika chanzo kingine cha Kaloleni kwa ajili ya uzinduzi rasmi. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce Msiru. 

Chanzo cha Maji cha Kaloleni. 


Chumba maalumu kwa ajili ya matibabu ya maji. 


Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Joyce Msiru akisoma taarifa ya mradi wa ujenzi wa chanzo cha maji cha Kaloleni.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwenge.
 akizindua mradi wa maji wa Kaloleni.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwenge akiotesha mti katika chanzo cha maji cha Kaloleni mjini Moshi.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Meck Sadiki akiotesha mti katika chanzo cha maji cha Kaloleni.


Mwenyekiti wa Bodiya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA), Prof Faustine Bee akiotesha mti katika chanzo hicho. 


Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa MAzingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce Msiru akiotesha mti katika chanzo cha maji cha Kaloleni. 


Mkuu wa wilaya ya Moshi, Kippi Warioba akiotesha mti katika chanzo cha maji cha Kaloleni. 


(Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini).

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA) YAONGEZA VYANZO VIWILI VYA MAJI
MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA) YAONGEZA VYANZO VIWILI VYA MAJI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhEr9xsrFvpJXvoLsKCwU31UQVBYS1N2Knme6_vM0GE9H8KgiTpGDfEG_75gVMvLL2FoBlh08K2uMVVQ5RTmyDzjZBbASQYqI2AkuU9Ggh8jjt7BZhL9_c1kjp_hXqUGjX3YirkQ5A3GQw7/s640/IMG_2655+%25281024x683%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhEr9xsrFvpJXvoLsKCwU31UQVBYS1N2Knme6_vM0GE9H8KgiTpGDfEG_75gVMvLL2FoBlh08K2uMVVQ5RTmyDzjZBbASQYqI2AkuU9Ggh8jjt7BZhL9_c1kjp_hXqUGjX3YirkQ5A3GQw7/s72-c/IMG_2655+%25281024x683%2529.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/mamlaka-ya-maji-safi-na-usafi-wa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/mamlaka-ya-maji-safi-na-usafi-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy