MABALOZI NCHI 12 ZA JUMUIYA YA ULAYA WAWASILI TANGA KUANGALIA FURSA ZA UWEKEZAJI

 Kaimu Meneja wa Bandari wa Bandari Tanga, Hendry Arika, (kushoto)  akimtambulisha kiongozi wa Mabalozi wa Jumuiya ...





 Kaimu Meneja wa Bandari wa Bandari Tanga, Hendry Arika, (kushoto)  akimtambulisha kiongozi wa Mabalozi wa Jumuiya ya Ulaya wanaowakilisha nchi zao nchi, Roeland Vande Geer kwa Captain Bandari, Endrew Matiria wakati ulipofanya ziara yake Tanga kuangalia fursa za uwekezaji baada ya ujio wa mradi wa Bomba la Mafuta Tanga.
Mabalozi 12 kutoka nchi mbalimbali wamefika Tanga kuangalia furasa za uwekezaji kwa kutembelea Bandari ya Tanga, Bohari ya mafuta ya GBP  na eneo ambalo litajengwa bombala Mafuta kijiji cha Chongoleani.
Akizungumza katika mkutano na ujumbe huo, Meneja wa Bandari Tanga, Hendry Arika, alisema ujumbe huo umejionea kasi kuelekea ujenzi wa bomba la Mafuta na kuwataka wawekezaji wa ndani kuangalia namna ambavyo nao watawekeza.





 Kaimu Meneja Bandari Tanga, Hendry Arika, akiwafahamisha mabalozi wa nchi za Ulaya wanaowakilisha nchi zao nchini wakati walipotembelea Bandari ya Tanga kuangalia fursa za uwekezaji kufuatia ujio wa mradi wa bomba la mafuta Tanga.



 Mabalozi wakitembelea bohari ya mafuta bohari ya GBP.

  Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Tanga, Daudi Mayeji, akiwaonyesha mabalozi wa nchi  12 za Ulaya wanaoziwakilisha nchini zao nchini ramani ya eneo litakapojengwa bomba la mafuta kijiji cha Chongoleani Tanga ziara waliyoifanya leo.
 Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga, Hendry Arika akizungumza na waandishi wa habari leo eneo litakalojengwa bomba la mafuta kijiji cha Chongoleani Tanga wakati wa ziara ya mabalozi 12 kutoka Jumuiya ya Ulaya wanaowakilisha nchini zai nchini.
Kiongozi wa mabalozi wa nchi 12 Jumuiya ya Ulaya, Roeland Van Geer, akizunguza na waandishi wa habari wakati wa ziara ya mabalozi hao Tanga kuangalia fursa za uwekezaji kufuatia ujio wa bomba la Mafuta. (habari hii kwa hisani ya blog ya kijamii ya tangakumekucha 0655 902929)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MABALOZI NCHI 12 ZA JUMUIYA YA ULAYA WAWASILI TANGA KUANGALIA FURSA ZA UWEKEZAJI
MABALOZI NCHI 12 ZA JUMUIYA YA ULAYA WAWASILI TANGA KUANGALIA FURSA ZA UWEKEZAJI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi_747TVpNW4ng-5O-_nhKOq_vBf90QjvxZZSMAfZVfNQZ8MpRNagbiN9Xiw-Kcld7Ti4JOsQ4Ynwi2GDG_IPPjdyjDoPLUyQm6_l86jb_0Li181Vj6WBfTnBZO6s0mKmegvN9brHJ4TVE/s640/DSCN8227.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi_747TVpNW4ng-5O-_nhKOq_vBf90QjvxZZSMAfZVfNQZ8MpRNagbiN9Xiw-Kcld7Ti4JOsQ4Ynwi2GDG_IPPjdyjDoPLUyQm6_l86jb_0Li181Vj6WBfTnBZO6s0mKmegvN9brHJ4TVE/s72-c/DSCN8227.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/mabalozi-nchi-12-za-jumuiya-ya-ulaya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/mabalozi-nchi-12-za-jumuiya-ya-ulaya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy