NAIBU WAZIRI KOLIMBA APOKEA MSAADA KUTOKA BURUNDI KUSAIDIA WAATHIRIKA WA TETEMEKO KAGERA

Mhe. Dkt. Kolimba akiwa katika picha ya pamoja Mhe. Nzeyimana  na wadau wengine .  Kushoto  ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Je...









Mhe. Dkt. Kolimba akiwa katika picha ya pamoja Mhe. Nzeyimana na wadau wengineKushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Mstaafu Salim Mustafa Kijuu akifuatiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Burundi.


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba akipokea msaada wa chakula kutoka kwa Mhe. Leontine Nzeyimana, Waziri wa Afrika Mashariki wa Burundi ikiwa ni msaada kutoka Serikali ya Burundi kwa ajili ya Waathirika wa tetemeko la ardhi huko Mkoani Kagera.  Msaada huo ni pamoja na mchele tani 100, sukari tani 30, mahindi tani 50 na majani ya chai tani 3.





Mhe. Dkt. Kolimba akitoa shukrani za dhati kwa niaba ya Serikali kwenda Serikali ya Burundi baada ya kupokea msaada huo wa chakula.



Mhe. Nzeyimana naye akitoa salamu za pole za Rais wa Burundi, Mhe. Pierre Nkurunziza kwa Serikali ya Tanzania kufuatia tetemeko hilo.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAIBU WAZIRI KOLIMBA APOKEA MSAADA KUTOKA BURUNDI KUSAIDIA WAATHIRIKA WA TETEMEKO KAGERA
NAIBU WAZIRI KOLIMBA APOKEA MSAADA KUTOKA BURUNDI KUSAIDIA WAATHIRIKA WA TETEMEKO KAGERA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhJXXs_ywAXo8Qkb07h9y3sn8Kp-A1ym5-ANtLiw_h_oHIva0V-gi6q3XYKtfoAEGmBfMeuHPiRVcEbf7MqhQe-SpQd0xy3copI0joppXQLTa8TmKTY5fzpc2W1LE6vOD5BuNuSvTAUa3A/s640/IMG-20160927-WA0004.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhJXXs_ywAXo8Qkb07h9y3sn8Kp-A1ym5-ANtLiw_h_oHIva0V-gi6q3XYKtfoAEGmBfMeuHPiRVcEbf7MqhQe-SpQd0xy3copI0joppXQLTa8TmKTY5fzpc2W1LE6vOD5BuNuSvTAUa3A/s72-c/IMG-20160927-WA0004.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/09/naibu-waziri-kolimba-apokea-msaada.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/09/naibu-waziri-kolimba-apokea-msaada.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy