RAIS DKT. MAGUFULI AMTHIBITISHA GERSON MSIGWA KUWA MKURUGENZI WA MAWASILIANO IKULU

Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Rais, (Director of Presidential Communication - DPC).  Bwana Gerson Partinus Msigwa, ...






Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Rais, (Director of Presidential Communication - DPC). Bwana Gerson Partinus Msigwa, aliyethibitishwa leo na Rais Dkt John Pombe Magufuli

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amemthibitisha Bw. Gerson Partinus Msigwa kuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Rais, (Director of Presidential Communication - DPC).
Taarifa iliyotolewa leo Jumatano Agosti 31,2016 na Katibu Mkuu Ikulu Bw. Peter Ilomo imeeleza kuwa Bw. Gerson Partinus Msigwa amethibitishwa kuanzia leo tarehe 31 Agosti, 2016 kushika wadhifa huo.
Kabla ya uthibitisho huo, Bw. Gerson Partinus Msigwa alikuwa Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Rais, katika Ofisi ya Rais Ikulu kuanzia tarehe 17 Novemba, 2015.
Jaffar Haniu
Kaimu Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi.
Dar es Salaam
31 Agosti, 2016.



 Gerson Msigwa akiwa na Mke wake Catherine Nyoni kwenye moja ya hafla.
 
 Akiwa Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Msigwa (wa pili kulia), akimsaidia mtangazaji wa ITV, kuripoti wakati wa ziara ya Rais John Pombe Magufuli hivi karibuni wilayani Chato.
 
Msigwa wakati akiwa mtangazaji wa TBC, akifanya maojiano.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT. MAGUFULI AMTHIBITISHA GERSON MSIGWA KUWA MKURUGENZI WA MAWASILIANO IKULU
RAIS DKT. MAGUFULI AMTHIBITISHA GERSON MSIGWA KUWA MKURUGENZI WA MAWASILIANO IKULU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgn7M5jL2z_VCQ85NPT2UKz6_Bx0ElyxbPkpWNItzxXVBsJBEGWujemtnnkTlsPK5dC9ACAFj7vtJetsP0VK6T5USeN9Ub6KyfHBjHljFMvzNzcsvK5eqJFYmOx-3hdQ3Y9GyXhf8wnM1A/s640/index.jpe
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgn7M5jL2z_VCQ85NPT2UKz6_Bx0ElyxbPkpWNItzxXVBsJBEGWujemtnnkTlsPK5dC9ACAFj7vtJetsP0VK6T5USeN9Ub6KyfHBjHljFMvzNzcsvK5eqJFYmOx-3hdQ3Y9GyXhf8wnM1A/s72-c/index.jpe
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/08/rais-dkt-magufuli-amthibitisha-gerson.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/08/rais-dkt-magufuli-amthibitisha-gerson.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy