Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na balozi wa India nchini Mhe.Sandeep Arya aliyekut...
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akisalimiana na balozi wa India nchini Mhe.Sandeep Arya aliyekutana naye
na kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 30, 2016 |
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimsindikiza balozi wa India nchini Mhe.Sandeep Arya aliyekutana naye
na kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 30, 2016 |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akisalimiana na balozi wa India nchini Mhe.Sandeep Arya aliyekutana naye
na kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 30, 2016 |
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiangalia Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara akisalimiana na
balozi wa Cuba nchini Mhe Jorge Lopez Tormo kabla ya kufanya naye
mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 30, 2016 |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na balozi wa Cuba
Mhe Jorge Lopez Tormo nchini Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 30,
2016. (PICHA NA IKULU) |
COMMENTS