PROGRAMU YA LTSP KUVIPATIA HATIMILIKI YA ARDHI VIJIJI 37 VYA MALINYI, KILOMBERO NA ULANGA MKOANI MOROGORO

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa tume ya taifa ya Matumizi Bora ya Ardhi Dkt Stephen Nindi ( Kulia ), akikabidhi Mpango wa miaka 20 wa ...







Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa tume ya taifa ya Matumizi Bora ya Ardhi Dkt Stephen Nindi ( Kulia ), akikabidhi Mpango wa miaka 20 wa Matumizi Bora ya Ardhi wa Watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga, Mpango huo umelenga kutunza mazingira na Bio anuai Zilizopo nchini pamoja na kumnufaish Mwananchi wa Kipato cha kawaida. 




Kiongozi wa Urasimishaji kupitia Programu ya LTSP, iliyo Chini ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi SAGWILE MSANANGA akitoa maelezo kuhusu Mradi wa kuwezesha Umilikishaji Ardhi kwa Wananchi pamoja na Vijiji Vilivyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga Mkoani MOROGORO. 




Mratibu wa Programu ya Kuwezesha Umilikishaji Ardhi katika Wilaya za MALINYI, KILOMBERO na ULANG, Godfrey Machabe aliyevaa Tai Shingoni, akimsikiliza kwa Umakini Kiongozi wa Urasimishaji ndugu Sagwile Msananga alipokuwa akielezea kuhusu Programu ya LTSP, kwa Washiriki wa Mafunzo ya Kuwezesha Umilikishaji wa Ardhi katika Wilaya ya Ulanga Mkoani MOROGORO. 



Kaimu kamishna wa Ardhi nchini Bi Mary Makondo ( katikati), akimsikiliza Katibu tawala wa Wilaya ya ULANGA mkoani Morogoro Ndugu Abraham Mwaivile aliyevaa Koti la Rangi ya Kijivu akisisitiza Jambo kwa Washiriki wa mafunzo ya kuwezesha Umilikishaji Ardhi katika Halmashauri hiyo, ambapo zoezi la Upimaji Mipaka ya Vijiji na Utoaji hatimiliki za Ardhi litafanyika.





Kiongozi wa Urasimishaji Sagwile Msananga kupitia Programu ya LTSP chini ya Wizara ya Ardhi inayoendelea katika Wilaya za MALINYI, KILOMBERO na ULANGA mkoani Morogoro akitoa Semina elekezi Juu ya Mradi huo, wenye lengo la Kutoa Kupika mipaka ya Vijiji na kutoka hatimiliki pamoja na kuhamasisha Ujenzi wa Masjala za Ardhi kwenye Vijiji. 



Kiongozi wa Urasimishaji kupitia Programu ya LTSP, iliyo Chini ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi SAGWILE MSANANGA akitoa maelezo kuhusu Mradi wa kuwezesha Umilikishaji Ardhi kwa Wananchi pamoja na Vijiji Vilivyopo wilayani Kilombero Mkoani MOROGORO.  (Picha zote na Hannah Mwandoloma)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: PROGRAMU YA LTSP KUVIPATIA HATIMILIKI YA ARDHI VIJIJI 37 VYA MALINYI, KILOMBERO NA ULANGA MKOANI MOROGORO
PROGRAMU YA LTSP KUVIPATIA HATIMILIKI YA ARDHI VIJIJI 37 VYA MALINYI, KILOMBERO NA ULANGA MKOANI MOROGORO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEixy_8rhpotgBa3grEDEZopkDatu-jwLrwJfaibEdn1QTVPCMLyQ1UYTz4wJL4CtP8Lhsg1hVAYMPGVPupbIzATEZXDGxiHSKWWWDa_GGeTmMx7PZLhpXQYi0fr-nQCDYfnNTcrJc5ivCc/s640/IMG-20160826-WA0055.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEixy_8rhpotgBa3grEDEZopkDatu-jwLrwJfaibEdn1QTVPCMLyQ1UYTz4wJL4CtP8Lhsg1hVAYMPGVPupbIzATEZXDGxiHSKWWWDa_GGeTmMx7PZLhpXQYi0fr-nQCDYfnNTcrJc5ivCc/s72-c/IMG-20160826-WA0055.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/08/programu-ya-ltsp-kuvipatia-hatimiliki.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/08/programu-ya-ltsp-kuvipatia-hatimiliki.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy