NEWS ALERT; LOWASSA, MBOWE WATIWA MBARONI NA POLISI DAR, WANAHOJIWA NA POLISI KWA KUKIUKA AGIZO LA POLISI

ALIYEKUWA mgombea urais wa Tanzania kupitia CHADEMA mwaka 2015 akiungwa mkono na vyama vinavyounda vuguvugu la U...







ALIYEKUWA mgombea urais wa Tanzania kupitia CHADEMA mwaka 2015 akiungwa mkono na vyama vinavyounda vuguvugu la Umoja wa Katiba ya Wancnhi (UKAWA), Edward Lowassa, na viongiozi wa juu wa chama hicho wamekamatwa jijini Dar es Salaam alasiri hii Agosti 29, 2016.
Kwa mujibu wa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu, wengine waliotiwa mbaroni na polisini pamoja na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, Katibu Mkuu, Dkt. Vincent Mashinji, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, (Zanzibar) na Mbunge wa Goba, John Mnyika. Kwa mujibu wa Lissu, viongzi hao wamekamatwa wakati wakishiriki kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kilichokuwa kikifanyika hoteli ya Giraffe Mbezi Beach nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Polisi ilipiga marufuku mikutano yote ya siasa iwe nje au ndani ya ukumbi.
Hata hivyo marufuku hayo ya polisi yamekuwa yakipingwa vikalina wanasiasa hao huku wakishikilia kuwa ni haki yao ya Kikatiba. CHADEMA imeingia kwenye msuguano na polisi kufuatia kutangaza operesheni UKUTA kuanzia Septemba Mosi mwaka huu itakayofanyikanchi nzima hali ambayo kwa takriban wiki kadhaa sasa, imezua mivutano na baina ya polisi na chamahicho kikuu cha upinzani huku  rai mbalimbali kutoka kila kona, zikihimiza kufanya maridhiano ili kutuliza "joto" hilo. adi kufikia saa 12;30 jioni hii, viongozi hao walikuwa wakishikiliwa kituo kikuu cha polisi kati jijini Dar es Salaam, na hakuna Mwandishi wa habari aliyeruhusiwa kuingia kwenye kituo hicho na kuamriwa kukaa mbali na kituo. Hali kadhalikawafuasi na wabunge wa chama hicho wamejikusanya jirani na kituo hicho cha polisi wakisubiri hatma ya viongozi wao. (Imeandaliwa na K-VIS Blogs)

 Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe
 Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji
Mbunge wa Goba John Mnyika

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NEWS ALERT; LOWASSA, MBOWE WATIWA MBARONI NA POLISI DAR, WANAHOJIWA NA POLISI KWA KUKIUKA AGIZO LA POLISI
NEWS ALERT; LOWASSA, MBOWE WATIWA MBARONI NA POLISI DAR, WANAHOJIWA NA POLISI KWA KUKIUKA AGIZO LA POLISI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgjZdFLTDawEEvytvL_DrbatTXXo75BJFiA9ina3PqnFu5T61WFGiqCPWr_IEFs2_P0-T9XE5WM1sRwOlT7NNngpZezEAGJWxq7i-fzvZlWEcvYATUU1PaBfBo8JtQGeCFy6JFvTxqSoCQ/s640/DSC_4662.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgjZdFLTDawEEvytvL_DrbatTXXo75BJFiA9ina3PqnFu5T61WFGiqCPWr_IEFs2_P0-T9XE5WM1sRwOlT7NNngpZezEAGJWxq7i-fzvZlWEcvYATUU1PaBfBo8JtQGeCFy6JFvTxqSoCQ/s72-c/DSC_4662.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/08/news-alert-lowassa-mbowe-watiwa-mbaroni.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/08/news-alert-lowassa-mbowe-watiwa-mbaroni.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy