MABALOZI WA AFRIKA WANAOWAKILISHA NCHI ZAO NCHINI TANZANIA WATEMBELEA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE (JKCI)

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohammed Janabi akizungumza na mabalozi wa Afrika w...





Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohammed Janabi akizungumza na mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania. Kulia ni Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Edzai Chimonyo. Mabalozi hao wameitembelea taasisi hiyo ili kuona shughuli mbalimbali za kitibabu na wamehahidi kuwenda kupatiwa matibabu kwenye taasisi hiyo badala kwenda nchi nyingine ikiwamo Afrika Kusini kupatiwa huduma za magonjwa ya moyo. 
 
Mabalozi wa nchi za Afrika nchini Tanzania wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohammed Janabi baada ya kuitembelea taasisi hiyo LEO. 
 
Profesa Janabi akizungumza na mabalozi katika taasisi hiyo LEO. 
 
Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano na mabalozi kwenye taasisi hiyo LEO. 
 
Mabalozi hao wakiwa katika chumba cha upasuaji. 
 
Mabalozi hao wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa taasisi hiyo. Picha na John Stephen, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
 
 

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MABALOZI WA AFRIKA WANAOWAKILISHA NCHI ZAO NCHINI TANZANIA WATEMBELEA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE (JKCI)
MABALOZI WA AFRIKA WANAOWAKILISHA NCHI ZAO NCHINI TANZANIA WATEMBELEA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE (JKCI)
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi2fl4OfTIATuejfT5HXl_-d8lMrrBEg8pIQov96eavnqqyUddbffkUEDNhbcaLrkvTYI1BwiDsl4aei9t5OUAzEU43j35rU-S-sOede-gnT_ts2_ePpGeEu2K6HB0PSIFKe85MxKzMrqNw/s640/0001.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi2fl4OfTIATuejfT5HXl_-d8lMrrBEg8pIQov96eavnqqyUddbffkUEDNhbcaLrkvTYI1BwiDsl4aei9t5OUAzEU43j35rU-S-sOede-gnT_ts2_ePpGeEu2K6HB0PSIFKe85MxKzMrqNw/s72-c/0001.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/08/mabalozi-wa-afrika-wanaowakilisha-nchi.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/08/mabalozi-wa-afrika-wanaowakilisha-nchi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy