FRANCIS LIBONGE NA CHRISTINA WALIVYOMEREMETA KATIKA NDOA YAO

Santana na pekosi ilikuwa ni moja ya mavazi ya mnogeshaji wa hafla hiyo. Santana na pekosi ilikuwa ni moja ya mavazi ya m...









Santana na pekosi ilikuwa ni moja ya mavazi ya mnogeshaji wa hafla hiyo.

Santana na pekosi ilikuwa ni moja ya mavazi ya mnogeshaji wa hafla hiyo.

Francis Libonge na mke wake Christina Mbiro wakiwa na wasimamizi wao wakati wa sherehe ya ndoa yao iliyofungwa katika kanisa katoliki la Mt. Maria Mkoani Morogoro hivi karibuni. (Picha na Robert Okanda)


Francis Libonge na mke wake Christina Mbiro wakionesha vyeti vyao baada ya kufunga ndoa katika kanisa katoliki la Mt. Maria Mkoani Morogoro hivi karibuni.

Bwana Harusi Francis na Bi Christina wakiwa na kaka zake Bi Harusi walivyovunga pingu za maisha Mkoani Morogoro hivi karibuni.

Bi Christina Mbiro akikiwa na wapamabe wao wao harusi

Francis Libonge na mke wake Christina Mbiro walivyovunga pingu za maisha katika kanisa la Mt. Maria la RC Mkoani Morogoro hivi karibuni. (Picha na Robert Okanda)







Francis Libonge na mke wake Christina Mbiro wakiwa na baadh ya wazazi upande kikeni Mkoani Morogoro hivi karibuni.

Francis Libonge na mke wake Christina Mbiro wakiwa na wazazi na ndugu wengine upande kiumeni Mkoani Morogoro hivi karibuni.

Nyimbo za Shangwe, nderemo na vifidjo vilifuata wakati wa kutoka kwenye ibad ya ndoa hiyo. 

Baadhi ya ndugu wakifuatilia ibada ya misa.





Baadhi ya ndugu wakifuatilia ibada ya misa.

Baadhi ya ndugu wakifuatilia ibada ya misa.


Bi Christina Mbiro akikabidhi zawadi ya keki kwa wakwe zake.



Francis Libonge na mke wake Christina Mbiro wakiwa na katika picha ya pamoja na ndugu upande wa kiumeni.
Francis Libonge na mke wake Christina Mbiro wakiwa na katika picha ya pamoja na ndugu upande wa Kikeni.

Wakikata keki ya harusi.
Francis Libonge na mke wake Christina Mbiro wakiwa na keki ya harusi tayari kumkabidhi mwenyekiti wa kamati ya harusi hiyo.
Mwenyekiti wa Kamati ya maadalizi ya harusi, John Liveti Libonge, akiwa na keki aliyokabidhiwa na Bwana harusi Francis Libonge na mke wake Christina Mbiro kama shukrani wakati wa harusi yao.
Francis Libonge na mke wake Christina Mbiro walivyovunga pingu za maisha katika kanisa la Mt. Maria la RC Mkoani Morogoro hivi karibuni. (Picha na Robert Okanda)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: FRANCIS LIBONGE NA CHRISTINA WALIVYOMEREMETA KATIKA NDOA YAO
FRANCIS LIBONGE NA CHRISTINA WALIVYOMEREMETA KATIKA NDOA YAO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEioZurR5iiU9QyjhLFSUzYA7CaIeur7x5xSAm5bVHPYlpUzD5yUj97l0kwgYCWtvM4TZ2GEQtOF_YsA2p-O1HDonyGRwT11VV0IimVOrc1DAzrwbzchGy1xJ_vxx0PUcv6TTsIZb6h_pHM/s640/S+2.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEioZurR5iiU9QyjhLFSUzYA7CaIeur7x5xSAm5bVHPYlpUzD5yUj97l0kwgYCWtvM4TZ2GEQtOF_YsA2p-O1HDonyGRwT11VV0IimVOrc1DAzrwbzchGy1xJ_vxx0PUcv6TTsIZb6h_pHM/s72-c/S+2.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/08/francis-libonge-na-christina.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/08/francis-libonge-na-christina.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy