MARAIS WASTAAFU NCHI ZA AFRIKA WAWASILI JIJINI DAR KUHUDHURIA MKUTANO MKUU WA UONGOZI WA MWAKA 2016

Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mheshimiwa Thabo Mbeki (pichani kulia) akiwasili leo jijini Dar e s Salaam akiwa na Mwenyeji wake ...









Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mheshimiwa Thabo Mbeki (pichani kulia)
akiwasili leo jijini Dar es Salaam akiwa na Mwenyeji wake Afisa Mtendaji
Mkuu wa Taasisi ya UONGOZI Profesa Joseph Semboja,kuhudhuria Mkutano
Mkuu wa Uongozi wa mwaka 2016 utakoanza kesho hapa jijini Dar Es Salaam katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro. Mkutano huo utakaodumu kwa siku mbili utawajumuisha wadau mbalimbali. (PICHA NA MICHUZI JR.MMG)


 
Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mheshimiwa Thabo Mbeki akisalimiana na Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania Mh. Thamsanga Dennis Msekelu baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Uongozi wa mwaka 2016 utakoanza kesho hapa jijini Dar Es Salaam katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro wa siku mbili. Pichani kati ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya UONGOZI Profesa Joseph Semboja.




Rais mstaafu wa Afrika Kusini Mheshimiwa Thabo Mbeki akizungumza na Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania Thamsanga Dennis Msekelu baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Uongozi wa
mwaka 2016 utakoanza kesho hapa jijini Dar es Salaam katika Hoteli ya
Hyatt Kilimanjaro.




Rais mstaafu wa Msumbiji, Armando Emilio Guebuza akikaribishwa na baadhi ya wafanyakazi wa taasisi ya UONGOZI mara baada ya kuwasili jijini Dar Es Salaam kuhudhuria mkutano Mkuu wa Uongozi wa mwaka 2016 unaotarajiwa kuanza hapo kesho jijini Dar es Salaam katika Hoteli ya Hyatt
Kilimanjaro kwa siku mbili.



Rais mstaafu wa Msumbiji, Armando Emilio Guebuza akikaribishwa na baadhi ya wafanyakazi wa taasisi ya UONGOZI mara baada ya kuwasili jioni ya leo jijini Dar Es Salaam kuhudhuria mkutano Mkuu wa Uongozi wa mwaka 2016 unaotarajiwa kuanza hapo kesho jijini Dar Es Salaam katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro kwa siku mbili. 


Rais Mstaafu wa Msumbiji Joachim Chissano akikaribishwa na baadhi ya
wafanyakazi wa taasisi ya UONGOZI mara baada ya kuwasili jijini Dar Es
Salaam jioni ya leo kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Uongozi wa mwaka 2016 wa siku mbili,utakoanza hapo kesho jijini Dar Es Salaam katika Hoteli
ya Hyatt Kilimanjaro. Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya
UONGOZI Profesa Joseph Semboja.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MARAIS WASTAAFU NCHI ZA AFRIKA WAWASILI JIJINI DAR KUHUDHURIA MKUTANO MKUU WA UONGOZI WA MWAKA 2016
MARAIS WASTAAFU NCHI ZA AFRIKA WAWASILI JIJINI DAR KUHUDHURIA MKUTANO MKUU WA UONGOZI WA MWAKA 2016
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjiNoJ6OSge-Cz2DcdJsmWi0hWm1xehfseLsMPD5A9pUA7eQxEcxtTe0eMGN1PPsPEHunkG3cK98qOmyXBB2DQPsFPw1j-ji9d56qwQxqsyaxglz2vOKMsnHCtR69hIW6S8NlRh3mufSLI/s1600/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjiNoJ6OSge-Cz2DcdJsmWi0hWm1xehfseLsMPD5A9pUA7eQxEcxtTe0eMGN1PPsPEHunkG3cK98qOmyXBB2DQPsFPw1j-ji9d56qwQxqsyaxglz2vOKMsnHCtR69hIW6S8NlRh3mufSLI/s72-c/1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/07/marais-wastaafu-nchi-za-afrika-wawasili.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/07/marais-wastaafu-nchi-za-afrika-wawasili.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy