MABONDIA WA KIKE KUPANDA ULINGONI AGOST 7 UWANJA WA TAIFA KUWASINDIKIZA GALILE NA KALAMA

Promota wa mchezo w masumbwi nchini  Haruna Mussa 'Dippo' katikati akizungumza na mashabiki wa mchezo wa ngumi...










Promota wa mchezo w masumbwi nchini  Haruna Mussa 'Dippo' katikati akizungumza na mashabiki wa mchezo wa ngumi za kulipwa wakati alipowatambulisha kupigana kwa mabondia wa kike Halima Bandola na Joyce Awino watakao oneshana umwamwamba Agost 7 katika uwanja wa ndani wa Taifa.

Mabondia Halima Bandola (kushoto) na
Joyce Awino wakitunisha misuli mbele ya mashabiki wa mchezo wa masumbwi wakati wa tambulisho wa mpambano wao utakaofanyika Agost 7 katika uwanja wa ndani wa taifa

 Promota wa mchezo w masumbwi nchini  Haruna Mussa 'Dippo' akizungumza na mashabiki wa mchezo wa ngumi za kulipwa wakati alipowatambulisha kupigana kwa mabondia wa kike Halima Bandola (kushoto) na Joyce Awino watakao oneshana umwamwamba Agost 7 katika uwanja wa ndani wa  Taifa
Promota wa mchezo w masumbwi nchini  Haruna Mussa katikati akiwainua juu mabondia mbele ya mashabiki wa mchezo wa ngumi za kulipwa wakati alipowatambulisha kupigana kwa mabondia wa kike Halima Bandola na Joyce Awino watakao oneshana umwamwamba Agost 7 katika uwanja wa ndani wa  Taifa. (Picha SUPER D BOXING NEWS)
Na Mwandishi Wetu
MABONDIA wa kike katika mchezo wa ngumi za kulipwa nchini Halima Bandola na Joyce Awino watapanda ulingoni Agost 7 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa taifa Dar es Salaam kuzichapa.
Akizungumza na mashabiki wa mchezo wa masumbwi wishoni mwa wiki iliyopita promota wa mpambano huo Haruna Mussa 'Dippo' amesema ameamua kuwa promoto wa mabondia wa kike kwa ajili ya kuhamasisa wasichana kuupenda na kuucheza mchezo wa masumbwi kwani kwa sasa michezo ni ajira kwa vijana
Aliongeza kwa kusema katika mpambano huo kutakuwa na mpambano wa kukata na shoka ambapo mabondia Kalama Nyilawila atavaana na Selemani Galile mpambano wa raundi kumi katika uzito wa Kg 72
Mchezo mwingine utakuwa ni kati ya Meshack Mwankemwa kutoka Mbeya atakumbana na Selemani Zugo mpambano wa ubingwa wa Kg 66 raundi kumi   
  
Katika Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na kocha  'Super D' kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki kujua sheria za masumbwi.


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MABONDIA WA KIKE KUPANDA ULINGONI AGOST 7 UWANJA WA TAIFA KUWASINDIKIZA GALILE NA KALAMA
MABONDIA WA KIKE KUPANDA ULINGONI AGOST 7 UWANJA WA TAIFA KUWASINDIKIZA GALILE NA KALAMA
https://mail.google.com/mail/u/0/images/cleardot.gif
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjAUY4ocK2uLwq0WSSwYKVD28WiZ2lhTyQItVs5rE3Y5vjXljnmwaD6GVgxeF0FRo19Iquib7rZENiPSgPa6ewP4t57JXJkezk4dtwNhoCTmRObrrwWlgSydTvQHBGIwMjPXaTXR8evCyod/s72-c/IMG_4919.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/07/mabondia-wa-kike-kupanda-ulingoni-agost.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/07/mabondia-wa-kike-kupanda-ulingoni-agost.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy