Bondia Idd Mkwela (kushoto) akiwa na Mwita Machage baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa Jumapili ya Julai 24...
Bondia Idd Mkwela (kushoto) akiwa na Mwita Machage baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa Jumapili ya Julai 24 katika ukumbi wa Musoma bar Tandika. |
Bondia Idd Mkwela (kushoto) akiwa na Mwita Machage baada ya
kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa Jumapili ya Julai 24 katika
ukumbi wa Musoma bar Tandika.
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu
Mhamila'Super D' (wa pili kushoto) akiwa na mabondia Idd Mkwela (kushoto)
Vicent Mbilinyi Shabani Kaoneka na Mohamed Kisua.
Kocha
wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' (kulia) akiwa na mabondia wake Mohaed Kisua kg 51 Iddi Mkwela Kg 61 Vicent
Mbilinyi Kg 63 na Shabani Kaoneka Kg 72 (Picha na SUPER D BOXING NEWS)Na Mwandishi Wetu
BONDIA Idd Mkwela atapanda tena ulingoni kesho jumapili katika mpambano wake mwingine wa Kg 61 atakapo mkabili Mwita Machage katika ukumbi wa musoma bar uliopo tandika
akizungumza baada ya upimaji uzito na afya kwa mabondia watakaocheza siku hiyo
Rais wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi' amesema kuwa mabondia wengine waliopima na watagombania ubingwa wa taifa ni Imani Mapambano atakaezichapa na Selemani Galile raundi kumi za ubingwa
katika mapambano haya tumeamua kuchukuwa mabondia chipkizi kwa ajili ya kuendelea kuamasisha mchezo wa ngumi sehemu mbalimbali nchini
hususani katika ukanda uhu wa Temeke ambapo tumekuwa tukichezesha vijana wanao chipukia kila wakati
Katika
Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi
pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na
kocha 'Super D'
kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki
kujua sheria za masumbwi na
kutakuwa na mapambano
makubwa matano ya utangulizi.
COMMENTS