WANANCHI JIMBO LA KIKWAJUNI ZANZIBAR KUPATA HUDUMA YA MATIBABU BURE

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni ambae pia ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kulia)...





Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni ambae pia ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kulia), akimsikiliza mmoja wa wananchi wa Jimbo hilo mara baada ya kutoa muda wa kusikiliza kero mbalimbali za wananchi  wakati wa mkutano uliofanyika Ofisi ya Jimbo hilo, Zanzibar. (PICHA NA MPIGA PICHA WETU)

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni ambae pia ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza  na wananchi wa Jimbo hilo wakati wa mkutano uliofanyika katika Ofisi ya Jimbo ambapo alitoa taarifa juu ya watu wazima kuanzia umri wa miaka 70 kupata huduma ya matibabu bure
Mwananchi wa Jimbo la Kikwajuni akisoma kipeperushi kilichotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ambacho kina majina ya Hospitali ambazo wafaidika wa huduma ya matibabu bure wanaweza kwenda kupata huduma hiyo wakati wa mkutano uliofanyika Ofisi ya Jimbo hilo Kikwajuni Zanzibar
Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni, Nassor Salim Jazeera (kulia), akimsikiliza mwananchi wa Jimbo hilo mara baada ya kutoa muda wa kusikiliza kero mbalimbali za wananchi  wakati wa mkutano uliofanyika Ofisi ya Jimbo hilo, Zanzibar
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Tawi la Zanzibar, Ismail Kangeta, akitoa ufafanuzi juu ya huduma ya matibabu itakayoanza kutolewa bure kwa wananchi wa Jimbo la Kikwajuni, wakati wa mkutano uliofanyika Ofisi ya Jimbo.Wapili ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni ambae pia ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni

Wananchi wa Jimbo la Kikwajuni, Zanzibar  wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni ambae pia ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani) wakati  akizungumza  katika  mkutano uliofanyika katika Ofisi ya Jimbo ambapo alitoa taarifa juu ya watu wazima kuanzia umri wa miaka 70 kupata huduma ya matibabu bure

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WANANCHI JIMBO LA KIKWAJUNI ZANZIBAR KUPATA HUDUMA YA MATIBABU BURE
WANANCHI JIMBO LA KIKWAJUNI ZANZIBAR KUPATA HUDUMA YA MATIBABU BURE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjlOBgo5IY26dasD0jBmVUKl-n5NH_vhC_REnC-3cMaX03Mgv41WOGNitnkfgHwpzZ7hhJc2oHMc0MxEviGtXWfuMiTNYBccfZd1TVn7-408DbibvBaSeERqFrYZJNbB1blDqbIveiUTRo/s640/pix+5-1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjlOBgo5IY26dasD0jBmVUKl-n5NH_vhC_REnC-3cMaX03Mgv41WOGNitnkfgHwpzZ7hhJc2oHMc0MxEviGtXWfuMiTNYBccfZd1TVn7-408DbibvBaSeERqFrYZJNbB1blDqbIveiUTRo/s72-c/pix+5-1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/06/wananchi-jimbo-la-kikwajuni-zanzibar.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/06/wananchi-jimbo-la-kikwajuni-zanzibar.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy