ABBAS MTEMVU ALIA NA HUJUMA ANAZO FANYIWA

Aliyekuwa Mbunge Temeke, Abbas Mtemvu (CCM), amelalamikia kuhujumiwa baada ya ofisi zake kwa nyakati tofauti kuvunjwa na kisha k...










Aliyekuwa Mbunge Temeke, Abbas Mtemvu (CCM), amelalamikia kuhujumiwa baada ya ofisi zake kwa nyakati tofauti kuvunjwa na kisha kumwibia nyaraka mbalimbali na mali za thamani kubwa.

Matukio hayo yamefanyika kwa nyakati tofauti ambapo Machi 5, mwaka huu watu wasiojulikana walivunja ofisi yake iliyoko Posta katikati ya Jiji la Dar es Salaam waliiba vitu mbalimbali wakati tukio kama hilo lilirudiwa Machi 13 katika ofisi yake ya Chang'ombe ambapo zilichukuliwa nyaraka za uchaguzi wa mwaka jana pekee licha ya kuwa kulikuwa na vitu vingine vya thamani kubwa.

Hali kadhalika usiku wa kuamkia Juni,  26 (leo) wezi hao wameingia tena katika ofisi hiyo baada ya kufanikiwa kumpa mlinzi chakula kinachodaiwa kuwekwa dawa za kulevya ambapo alilala ndipo walipata mwanya wa kuiba pikipiki tatu zilizokuwa zimehifadhiwa katika ofisi hiyo, viroba vitatu vya mchele na boksi tano za tende.

Abbas Kilapo (aliye vaa kofia) akiwaonyesha Askari kanzu wa Kituo cha Chang'ombe jinsi watu hao walivyofanikiwa kwa kuondoka na vitu hivyo.
Muhusika wa ofisi hiyo ambaye alifahamika kwa jina la, Abbas Kilapo akiwaonyesha Askari Kanzu na waandishi wa hapari (pichani hawapo) Namba za pikipiki na kadi za Pikipiki zilizo ibiwa na watu wanaodaiwa ni wezi.
  Abbas Kilapo akizungumza na waandishi wa habari (pichani hawapo) mara baada ya kufika Ofisini hapo.
Katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Miburani, Ally Kamtande akimpepea inzi mlinzi huyo anayesadikiwa kupewa chakula chenye kilevi na kulala bila kujitambua Dar es Salaam jana. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA 

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: ABBAS MTEMVU ALIA NA HUJUMA ANAZO FANYIWA
ABBAS MTEMVU ALIA NA HUJUMA ANAZO FANYIWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh1M3nrM-d5X3b4jpYc0DwjfXWuk0uK4GwNNwQ7rFKucRiD47Bqk5PLgdu6XixwZzMYxRJpE2PVP7twN92PN57Y9pgkna6yuBMzGFsmUi0VJaVDgkyqJrqPJVK5pfmj-lhdfRAP9lEQ9sHw/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh1M3nrM-d5X3b4jpYc0DwjfXWuk0uK4GwNNwQ7rFKucRiD47Bqk5PLgdu6XixwZzMYxRJpE2PVP7twN92PN57Y9pgkna6yuBMzGFsmUi0VJaVDgkyqJrqPJVK5pfmj-lhdfRAP9lEQ9sHw/s72-c/1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/06/abbas-mtemvu-alia-na-hujuma-anazo.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/06/abbas-mtemvu-alia-na-hujuma-anazo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy