WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA WAFANYAKAZI WA WIZARA YAKE

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, akihutubia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo mjini...

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, akihutubia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo mjini Morogoro, ambapo amewataka wafanyakazi wa wizara hiyo kufanyakazi kwa bidii na kuacha mazoea ili kutimiza malengo ya kukusanya mapato na kusimamia matumizi yake kikamilifu

Katibu wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Cyprian Kuyava, akitoa neno la shukrani mjini Morogoro, baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka mitatu ijayo.
Mkurugenzi wa Idara ya Uhakiki Mali za Serikali, Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Ezra Msanya, akijibu maswali ya baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo, mjini Morogoro, mwishoni mwa juma.
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Mipango, wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali zilizotolewa wakati wa Mkutano Mkuu wa Baraza la wafanyakazi wa wilaya hiyo uliofanyika mjini Morogoro, mwishoni mwa juma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, (wa nne kutoka kushoto) akiungana na wafanyakazi wanaounda Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo kuimba wimbo wa mshikamano daima, wakati wa Mkutano Mkuu wa Baraza hilo uliofanyika Mjini Morogoro Mwishoni mwa juma. kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu Dorothy Mwanyika na kulia kwake ni Naibu Katibu Mkuu Amina Hamis Shaban.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Mipango, wakiimba wimbo wa mshikamano daima, mkutano uliopitia bajeti ya Wizara hiyo na kufanya uchaguzi wa viongozi wapya mjini Morogoro, mwishoni mwa juma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango (aliyeketi katikati), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza la wafanyakazi wa Wizara hiyo uliofanyika mjini Morogoro, mwishoni mwa juma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango (kulia), akiagana na katibu Tawala wa mkoa wa Morogoro, Mhandisi Dkt. John Ndunguru, baada ya kuzinduliwa rasmi kwa Baraza jipya la Wafanyakazi wa Wizara hiyo mjini Morogoro Mwishoni mwa juma.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA WAFANYAKAZI WA WIZARA YAKE
WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO AHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA WAFANYAKAZI WA WIZARA YAKE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEihhmeNeEQhOWTCGZwODjnNDzdJJHCf7SFgMSB_hU7AJhkLF43jOdhSF6RLon-mJ2zc53SzWVUopbJaiYXSfEMGH4fcAqyDHLFm_k2frJ1jTBr65ZzYL3rVaPu1XT7UnAccgm0E9hjgMo_L/s640/IMG_8100.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEihhmeNeEQhOWTCGZwODjnNDzdJJHCf7SFgMSB_hU7AJhkLF43jOdhSF6RLon-mJ2zc53SzWVUopbJaiYXSfEMGH4fcAqyDHLFm_k2frJ1jTBr65ZzYL3rVaPu1XT7UnAccgm0E9hjgMo_L/s72-c/IMG_8100.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/05/waziri-wa-fedha-na-mipango-ahimiza.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/05/waziri-wa-fedha-na-mipango-ahimiza.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy