MWILI WA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM, MBONEA WILSON KABWE WAAGWA LEO

Baadhi ya Mawakili na Wanasheria wakiingiza mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bwa. Mbonea Wilson Kabwe ka...






Baadhi ya Mawakili na Wanasheria wakiingiza mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bwa. Mbonea Wilson Kabwe katika viwanja vya Karimjee kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho. 

 

Familia ya aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam, Mbonea Wilson Kabwe wakifuatilia ibada ya kutoa heshima za mwisho ya kuuaga mwili huo.  
 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene akiwakisha salamu za rambirambi kutoka Serikalini wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa  Mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam katika viwanja vya Karimjee, jijini leo.
 

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwasilisha salamu za rambirambi kutoka ofisi yake wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bw. Mbonea Wilson Kabwe katika viwanja vya Karimjee, leo jijini. 
 

Waziri Simbachawene akitoa heshima za mwisho kabla ya safari ya kuelekea Mamba, Wilayani Same mkoa wa Kilimanjaro kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika Mei 25 2016. 
 

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Eng. Raymond Mushi akitoa heshima za mwisho.
  

Meya wa jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita akitoa heshima za mwisho.
 

Baadhi ya Ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria ibada hiyo wakijiandaa kutoa heshima za mwisho.


Baadhi ya Ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria ibada ya heshima za mwisho kwa aliyekuwa  Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bw. Mbonea Wilson Kabwe kabla ya safari ya kuelekea Mamba, Wilayani Same mkoa wa Kilimanjaro kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika Mei 25 2016. (Picha zote na Beatrice Lyimo-Maelezo)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MWILI WA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM, MBONEA WILSON KABWE WAAGWA LEO
MWILI WA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM, MBONEA WILSON KABWE WAAGWA LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEicYpzRUAOpPEe4wKf8c7AJyhcSsfshOE4eJC3mgUIAyLIclHBoOEDWQSyARREsvw2CYtPlx4Bt46s4xp-nVvKMmCpxfqPQsA05Apb6YHBr0xVXvLsR-fOiVENHzkStSvN0PqgCoj5B1CtT/s640/TUMA+1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEicYpzRUAOpPEe4wKf8c7AJyhcSsfshOE4eJC3mgUIAyLIclHBoOEDWQSyARREsvw2CYtPlx4Bt46s4xp-nVvKMmCpxfqPQsA05Apb6YHBr0xVXvLsR-fOiVENHzkStSvN0PqgCoj5B1CtT/s72-c/TUMA+1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/05/mwili-wa-aliyekuwa-mkurugenzi-wa-jiji.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/05/mwili-wa-aliyekuwa-mkurugenzi-wa-jiji.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy