MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI, WCF NA PPF WASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI.

  Baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, WCF, wakishiriki matembezi ya kilele cha siku ya Wafanyakazi Dunia...







 Baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, WCF, wakishiriki matembezi ya kilele cha siku ya Wafanyakazi Duniani  (May day), hapa matembezi yakiwa barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam, Mei 1, 2016.
NA
K-VIS MEDIA/Khalfan Said
MFUKO wa Fidia Kwa Wafanyakazi, WCF, kwa mara ya kwanza umeshiriki kwenye matembezi ya kusherehekea siku ya Wafanyakazi, maarufu kama MAY DAY jijini Dar es Salaam
leo Mei 1, 2016.
Matembezi hayo yaliyoshirikisha wafanyakazi kutoka sekta ya Umma na Binafsi, ambazo ndio wadau wakubwa wa Mfuko huo, yalianzia kwenye ofisi za Shirikisho la Vyamavya Wafanyakazi,
TUCTA, Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam na kupita barabara ya Nkurumah, Nyerere na kisha kupinda barabara ya Chang’ombe hadi uwanja wa Uhuru ambako yalipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda.
WCF ni Taasisi ya Serikali chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na umeundwa kwa mujibu wa kifungu cha 5 cha sheria ya Bunge ya Fidia kwa wafanyakazi namba 20 ya mwaka 2008 ukiwa na wajibu wa kutoa Mafao ya Fidia kwa mfanyakazi apatwapo na madhara
mahala pa kazi.
Tangu kuanzishwa kwa Mfuko huo, juhudi za kutangaza hudumazake kwa wadau zimekuwa zikiendelea mfululizokwa kutoa elimu kupitia semina, maonyeshona makongamano
lakini pia kupitia vyombo vyahabari na kwa siku ya Mei Day imekuwa ni fursa
kubwa ya WCF kuungana na wadau wake wakubwa.
 Wafanyakazi
wa WCF wakipita mbele ya jukwaa kuu la uwanja wa Uhuruwakati wa matembezi ya
kilele chasiku ya wafanyakazi Duniani
 Matembezi yakiwa yameingia Uwanja wa Uhuru
 Matembezi yakipita barabara ya Chang'ombe
 Matembezi yanaendelea, hapa ni barabara ya Uwanja wa Taifa  mkabala na ofisi za TAKUKURU wilaya ya Temeke
 Matembezi yakiendelea barabara ya Chang'ombe
 Matembezi yakiwa barabara ya Uwanaja wa Taifa
 Baadhi ya wafanyakazi wakiwa kwenye matembezi hayo, hapa nibarabara ya Chang'ombe
 Baadhi ya wafanyakazi wa WCF, wakimsikiliza mwenzao aliyevaat-shirtyenye ujumbe maalum wa Mfuko huo “WCF inatoa Fidia Stahiki kwa Wafanyakazi wote wa Sekta ya Umma na Binafsi”.


 Mkuu wa Mkoa wa Dar esSalaam, Mh. Paul Makonda, (kulia), akiteta jambo na kiongozi wa Shirikisho la Wafanyakazi mkoa wa Dar es Salaam, wakati wa kilele cha May Day uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

 Baadhi ya wafanyakazi wa WCF wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukamilisha matembezi hayo kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wafanyakazi wa WCF wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukamilisha matembezi hayo kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Nyuso za furaha baada ya matembezi

 Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni PPF, wakiwa katika maandamano wakipita mbele ya mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (hayupo pichani) wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo. (Picha na Mafoto Blog)
 Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na baadhi ya waheshimiwa wengine wakisimama Jukwaa kuu wakati wakipokea rasmi maandamano ya Wafanyakazi wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo Mei 1, 2016.
 Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
 Raawu......
 Sehemu ya wafanyakazi waliohudhuria sherehe hizo......
 Shirika la Utangazaji la Taifa TBC.....
 Maliasili.......
 Uhuru Fm...........
 Wakala wa Uchimbaji Visima na Ujenzi wa Mabwawa..........
 Mfuko wa Pensheni wa PPF.......
 DDCA......
 PPF.....

Baadhi ya wafanyakazi wa PPF wakisebeneka katika gari lao wakiwa njiani kuelekea Uwanja wa Uhuru kwa ajili ya kushiriki sherehe hizo leo asubuhi.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI, WCF NA PPF WASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI.
MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI, WCF NA PPF WASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiG2aSs8Zd1yBLQXUE41XYGPtQQf6U-TjJ0N-nYHq4MeFxeJRzArY01QkmvrvzbVKRfWq_gj8MDAysp-fSbDQOLhLsuBntY8GNA2cAefZ_zgRz5p_GEZQulZVUZBu14pF4LHfhKVZNRDNw_/s640/b7.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiG2aSs8Zd1yBLQXUE41XYGPtQQf6U-TjJ0N-nYHq4MeFxeJRzArY01QkmvrvzbVKRfWq_gj8MDAysp-fSbDQOLhLsuBntY8GNA2cAefZ_zgRz5p_GEZQulZVUZBu14pF4LHfhKVZNRDNw_/s72-c/b7.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/05/mfuko-wa-fidia-kwa-wafanyakazi-wcf-na.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/05/mfuko-wa-fidia-kwa-wafanyakazi-wcf-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy