Kijana ambaye jina lake halikufahamika maramoja akiwa chini ya ulinzi wa Askari waliopo eneo la Gengo la Mifugo kumdhibiti kija...
Kijana ambaye jina lake halikufahamika maramoja akiwa chini ya ulinzi wa Askari waliopo eneo la Gengo la Mifugo kumdhibiti kijana huyo mara alipotuhumiwa kuiba Kompyuta mpakato na simu ya mkononi na mmoja wa wafanyakazi jina (jina limehifadhiwa) kushitukia mchezo mchafu uliokua ukifanywa na kijana huyo, katika Ofisi ya Mkurugenzi Msaidizi Huduma za Mifugo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Baadhi ya wafanyakazi wakimuangali jina huyo akiwa ameokolewa na Polisi baada ya kufika katika eneo la tukio.
Vitu vilivyokua vimedaiwa kuibiwa na kina huyo.
COMMENTS