BONDIA VICENT MBILINYI AJITAYARISHA NA MPAMBANO WAKE WA JUNE 4

Na Mwandishi Wetu BONDIA Vicent Mbilinyi ameingia kambini rasmi kwa ajili ya mazoezi yake ya mpambano ujao atakapo zipiga na ...





Na Mwandishi Wetu

BONDIA Vicent Mbilinyi ameingia kambini rasmi kwa ajili ya mazoezi yake ya mpambano ujao atakapo zipiga na

Bondia Msafiri Haule katika mpambano wa raundi sita utakaofanyika Juni 4 mwaka huu katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa taifa

Mbilinyi aliye chini ya kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amejizatiti kushinda mpambano wake uho kwa kuwa amefanya mazoezi kwa mda mrefu na ajapigana katika jiji la Dar es Salaam kwa mda hivyo mashabiki wake wakae mkaa wa kufuraia siku hiyo

aliongeza kwa kusema kuwa Mashabiki wake wategemee ushindi wa K.O mbaya sana aliongeza kwa kusema kuwa kama mashabiki watakumbuka mpambano wangu wa mwisho nilivyo msambalatisha Deo Njiku kwa K,O hivyo mwendeezo wangu utakuwa hivyo hivyo kwa huyo bondia.

Naye kocha wa kimataifa Rajabu Mhamila 'Super D' anaemnowa Mbilinyi amesema kuwa bondia huyo yupo fiti ata kama mpambano utapigwa leo kwa kuwa amefanya mazoezi ya muda mrefu na yakutosha akiwa chini ya kocha huyo ambaye jukumu lake alishii tu kwa ukocha pamoja na kumtangaza nje na ndani ya nchi na kumtafutia mapambano mbali mbali ambayo yanamwezesha kuendeleza kipaji chake hicho.

Mbali na mpambano huo siku hiyo kutakuwa na mapambano ya mabondia wa uzito wa juu nchini siku hiyo itajulikana kama  'Usiku wa Mahavy Weight' ambapo bondia Ashiraf Selemani kutoka Zanzibar atapanda uringoni kuzichapa na Mthailand wakati bondia mwingine Amour Mzungu kutoka Zanzibar atazipiga na Japhet Kaseba

na mapambano mengine mbalimbali yatakayosindikiza usiku huo wa mabondia wa uzito wa juu nchini

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BONDIA VICENT MBILINYI AJITAYARISHA NA MPAMBANO WAKE WA JUNE 4
BONDIA VICENT MBILINYI AJITAYARISHA NA MPAMBANO WAKE WA JUNE 4
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgOMGnplYPMmovK4fQmhq0bUe3R3YkSzFUu9HZ9ZYWoMCBkA8UqfIkbDy2kn3BrpFVunLjYVLdUlsDs34om9l7A7d5ZDyad-No6vpc8Wb3KmTnOHffSM40oAErqaptBut7dCBIwFC6ql3yZ/s640/IMG_0372.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgOMGnplYPMmovK4fQmhq0bUe3R3YkSzFUu9HZ9ZYWoMCBkA8UqfIkbDy2kn3BrpFVunLjYVLdUlsDs34om9l7A7d5ZDyad-No6vpc8Wb3KmTnOHffSM40oAErqaptBut7dCBIwFC6ql3yZ/s72-c/IMG_0372.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/05/bondia-vicent-mbilinyi-ajitayarisha-na.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/05/bondia-vicent-mbilinyi-ajitayarisha-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy