Mama Salma Kikwete receives a gift from Natalie Gonella- Platts from George W. Bush Institute of America. Looking on is the Tou...
Mama Salma Kikwete receives a gift from Natalie Gonella- Platts from George W. Bush Institute of America. Looking on is the Toun Olateju from Pink Ribbon Red Ribbon Initiative when they paid her a courtesy visit in Dar es Salaam recently.
|
Mama Salma Kikwete akisalimiana na Toun Olateju kutoka Pink Ribbon Red Ribbon Initiative chini ya Taasisi ya George W. Bush Institute Marekani wakati yeye na Natalie Gonella walipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam hivi karibuni. |
|
Mama Salma Kikwete akifanya mazungumzo na wageni kutoka George W. Bush Institute Marekani: Natalie Gonnella -Platts (kushoto) na Toun Olateju (kushoto kwake) akiwa pamoja na Katibu wa WAMA Bw. Daudi Nasib katika Ofisi za WAMA Kawe Dar es Salaam. |
COMMENTS