WIZI MWINGINE WABAINIKA MALIASILI ZA TAIFA, MAKONTENA 31 YA MAGOGO YAKAMATWA NI WIZI MTUPUU!

Naibu Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Elizabeth Phiri akiongea na waandishi wa habari kuhusu makontena 31 ya magogo ya miti ai...











Naibu Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Elizabeth Phiri akiongea na waandishi wa habari kuhusu makontena 31 ya magogo ya miti aina ya mkula, yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 300, yaliyokuwa yakisafirishwa kinyume na sheria kwenda Mashariki ya mbali, yakidaiwa kutokea nchini Zambia yalipokamatwa eneo la kuhifadhia mizigo ya Bandari ya Dar jijini leo. Pamoja naye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Adelhelm Meru. (Picha na Robert Okanda)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Adelhelm Meru, akiongea na waandishi wa habari kuhusu makontena 31 ya magogo ya miti aina ya mkula, yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 300, yaliyokuwa yakisafirishwa kinyume na sheria kwenda Mashariki ya mbali, yakidaiwa kutokea nchini Zambia yalipokamatwa eneo la kuhifadhia mizigo ya Bandari ya Dar jijini  leo






COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WIZI MWINGINE WABAINIKA MALIASILI ZA TAIFA, MAKONTENA 31 YA MAGOGO YAKAMATWA NI WIZI MTUPUU!
WIZI MWINGINE WABAINIKA MALIASILI ZA TAIFA, MAKONTENA 31 YA MAGOGO YAKAMATWA NI WIZI MTUPUU!
https://i.ytimg.com/vi/C6MmNk9w70I/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/C6MmNk9w70I/default.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/11/wizi-mwingine-wabainika-maliasili-za.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/11/wizi-mwingine-wabainika-maliasili-za.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy