TAFRIJA YA MCHAPALO WA UZINDUZI WA INTANETI YA KASI ZAIDI YA TIGO 4G JIJINI TANGA YAFANA

Mkuu wa kitengo cha biashara (B2B) katika kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Rene Bascope, akihutubia hadhira iliyohudhuria uzinduz...







Mkuu wa kitengo cha biashara (B2B) katika kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Rene Bascope, akihutubia hadhira iliyohudhuria uzinduzi wa mfumo wa intaneti wenye kasi zaidi (4G LTE) uliozinduliwa jana jijini Tanga.
Wadau mbalimbali wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, wakihudumiwa na watoa huduma wa kampuni hiyo sambamba na uzinduzi wa huduma ya intaneti yenye kasi zaidi (4G LTE) uliofanyika jijini Tanga jana.


Mkuu wa wilaya ya Tanga, Abdullah Lutavi akihutubia wakati wa uzinduzi huo.
Kamanda wa kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Tanga, Nassor Sisiwaya (wa pili kushoto) akibadilishana mawazo na Meneja Mawasiliano ya Umma wa kampuni ya simu, John Wanyacha. 


Wadau mbalimbali wakimsikiliza mgeni rasmi (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa mfumo wa intaneti wenye kasi zaidi wa 4G LTE, uliozinduliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, jijini Tanga jana.
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Mashariki, Goodluck Charles (wa pili kulia) akimkabidhi zawadi ya simu, James Marwa ambaye aliibuka mshindi wa kwanza wa bahati nasibu iliyochezeshwa jana sambamba na uzinduzi wa intaneti yenye kasi zaidi ya 4G LTE jijini Tanga.






COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TAFRIJA YA MCHAPALO WA UZINDUZI WA INTANETI YA KASI ZAIDI YA TIGO 4G JIJINI TANGA YAFANA
TAFRIJA YA MCHAPALO WA UZINDUZI WA INTANETI YA KASI ZAIDI YA TIGO 4G JIJINI TANGA YAFANA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjCf1RF4tu1pVE4tKyTuF3QWYI6Sm-pSGJ3pOi0ckH-_FTNcken_gn9cSZjzwQNGZOcXKYgpvIltJpjUWItTl2N_arIdvOBkPGcQsTZ39ujPVhAQRCtr1TGkBXMZaGfWG92mwaF_BXzYxs/s640/3+%25282%2529.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjCf1RF4tu1pVE4tKyTuF3QWYI6Sm-pSGJ3pOi0ckH-_FTNcken_gn9cSZjzwQNGZOcXKYgpvIltJpjUWItTl2N_arIdvOBkPGcQsTZ39ujPVhAQRCtr1TGkBXMZaGfWG92mwaF_BXzYxs/s72-c/3+%25282%2529.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/11/tafrija-ya-mchapalo-wa-uzinduzi-wa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/11/tafrija-ya-mchapalo-wa-uzinduzi-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy