RAY MBOYA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA NAFASI YA MEYA MANISPAA YA MOSHI

Msimamizi wa Uchaguzi wa nafasi ya Meya ndani ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Makabayo akizungumza jambo wak...








Msimamizi wa Uchaguzi wa nafasi ya Meya ndani ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Makabayo akizungumza jambo wakati wa kutangaza matokeo ya uchaguzi huo.
Baadhi ya Madiwani walioshiriki zoezi la kumpata Meya wa manispaa ya Moshi kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Meya wa Manispaa ya Moshi aliyemaliza muda wake na Mbunge wa sasa wa jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika Hotel ya Umoja.
Madiwani wakimsikiliza Mbunge Michael kwa makini .
Katibu wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro,Basil Lema akizungumza katika kikao hicho.
Waliokuwa washindani katika nafasi ya kuwania kuteuliwa na Chadema nafasi ya Meya wa manispaa ya Moshi, Francis Shio (kushoto) akimpongeza Raymond Mboya baada ya kutangazwa mshindi kwa kupata kura 16 dhidi ya kura 10 za Shio .
Madiwani wakimpongeza Ray Mboya baada ya kutangazwa mshindi.
Raymond Mboya ambaye pia ni diwani wa kata ya Longuo akizungumza mara baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi ya kuteuliwa na Chadema kupeperusha bendera katika nafasi ya kugombea kuwa Meya wa manispaa ya Moshi.
aliyekuwa akiogombea nafasi ya Meya ,Francis Shio akizungumza mara baada ya kushindwa na Ray Mboya huku akiwataka madiwani kuungana kufanya kazi ya ahadi walizotoa kwa wananchi.
Mshindi wa nafasi ya Naibu Meya ,Peter Minja akishukuru mbele ya madiwani waliompigia kura na kufanikiwa kushika nafasi hiyo.
Aliyekuwa akigombea nafasi ya Naibu Meya, Jomba Koi na kushindwa na Peter Minja akizungumza katika kikao hicho akitoa ahadi ya kushirikiana na Meya aliyechaguliwa.
Mwenyekiti wa baraza la wazee wa Chadema manispaa ya Moshi, Ally Mwamba akizungumza jambo katika kikao hicho.

(Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini).

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAY MBOYA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA NAFASI YA MEYA MANISPAA YA MOSHI
RAY MBOYA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA NAFASI YA MEYA MANISPAA YA MOSHI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhmk0_jCSjkrHD9EPdVyGngKgzsGMk_bc0M-iutF5lUaNKTG6ZSI4byHdwFqJQP9_TASJTO4OClt-FapeA-YyjzsSG_DHXnqI3bMVubjd28QctYi8Ks9q-AdqIROzUARp1_LMUXGMJ8UHo8/s640/IMG_0140+%25281024x683%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhmk0_jCSjkrHD9EPdVyGngKgzsGMk_bc0M-iutF5lUaNKTG6ZSI4byHdwFqJQP9_TASJTO4OClt-FapeA-YyjzsSG_DHXnqI3bMVubjd28QctYi8Ks9q-AdqIROzUARp1_LMUXGMJ8UHo8/s72-c/IMG_0140+%25281024x683%2529.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/11/ray-mboya-kupeperusha-bendera-ya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/11/ray-mboya-kupeperusha-bendera-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy