AZANIA BANK TAWI LA MOSHI YAKABIDHI VIFAA VYA KUFANYIA USAFI KWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOSHI

Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi, Hajira Mmambe akisalimiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Jeshi Lupembe al...







Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi, Hajira Mmambe akisalimiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Jeshi Lupembe alipofika ofisini kwake kuitikia wito wa rais John Magufuli ya kufanya usafi Disemba 9 kwa kuchangia vifaa vya kufanyia usafi.
Afisa afya mkuu wa manispaa ya Moshi,Mgeta Sebastian akisalimiana na Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi, Hajira Mmambe alipotembelea ofisi za halmashauri hiyo kutoa msaada wa vifaa vya kufanyia usafi.
Meneja wa Azania Bank, Hajira Mmambe akitia saini katika kitabu cha wageni ofisini kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Jeshi Lupembe (kulia).
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Jeshi Lupembe akipokea rasmi msaada kutoka benki ya Azania uliowasilishwa na Meneja wa benki hiyo, Hajira mmambe kwa ajili ya kufanyia usafi.
Wafanyakazi wa Azania Bank tawi la Moshi,wakishusha mifagio,iliyotolewa na benki hiyo kwa ajili ya shughuli za usafi zitakazofanyika Disemba tisa mwaka huu,kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya manispaa ya Moshi, Jeshi Lupembe.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Jeshi Lupembe akiwa ameongozana na Afisa afya mkuu wa manispaa hiyo,Mgeta Sebastian wakati wa kupokea msaada a vifaa vya kufanyia usafi kutoka Benki ya Azania tawi la Moshi.
Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi, Hajira Mmambe akikabidhi vifaa vya kufanya usafi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Jeshi Lupembe, vifaa hivyo vimetolewa kwa ajili ya kutekeleza agizo la Rais Magufuli la kufanyika wa usafi siku ya Disemba 9.

(Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini).

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: AZANIA BANK TAWI LA MOSHI YAKABIDHI VIFAA VYA KUFANYIA USAFI KWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOSHI
AZANIA BANK TAWI LA MOSHI YAKABIDHI VIFAA VYA KUFANYIA USAFI KWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOSHI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg95lTXAr1Yb8o6U11kfaTK6_z31yZZ2cRIPL-s6BaneHOLLeWcqdAI7bs7iTbAJNgSQB2hkdHLoRh76_VxzY83vVwFoVxxzQfcsmwKFXuhOQnuoy8fHks0TZa6AWX1aYkx3SrRiEMeroJ0/s640/IMG_9777+%25281024x683%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg95lTXAr1Yb8o6U11kfaTK6_z31yZZ2cRIPL-s6BaneHOLLeWcqdAI7bs7iTbAJNgSQB2hkdHLoRh76_VxzY83vVwFoVxxzQfcsmwKFXuhOQnuoy8fHks0TZa6AWX1aYkx3SrRiEMeroJ0/s72-c/IMG_9777+%25281024x683%2529.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/11/azania-bank-tawi-la-moshi-yakabidhi.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/11/azania-bank-tawi-la-moshi-yakabidhi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy