WASIMAMIZI WA UCHAGUZI TOKA MAJIMBO YOTE NCHINI WAKUTANISHWA JIJINI DAR ES SALAAM.

Wasimamizi wa Uchguzi nchini wametakiwa kusimamia sheria katika kutekeleza majukumu ya kusimamia Uchaguzi unaotarajia kufanyika mwishoni ...



Wasimamizi wa Uchguzi nchini wametakiwa kusimamia sheria katika kutekeleza majukumu ya kusimamia Uchaguzi unaotarajia kufanyika mwishoni mwa mwezi huu.


Mwenyekiti wa Uchaguzi Jaji mstaafu Damiani Lubuva amesema hayo katika hotuba ya ufunguzi kwa Wasimamizi wa Uchaguzi toka majimbo yote nchini kwa lengo la kupata uzoefu kuboresha utendaji kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu ujao.
“Mpaka sasa zoezi la kampeni linakwenda vizuri tufanye kazi zetu kwa weledi, kila mmoja wetu ashiriki kikamilifu katika mkutano huu, ili kuweza kupata michango itakayoweza kufanikisha uchaguzi huru, haki na amani ukizingatia kwamba wengi wenu ni wazoefu, kupitia wakati huu mtaweza kushirikishana uzoefu na kujifunza”

Aidha Lubuva ameongeza kuwa NEC imehusisha jeshi la polisi kwa lengo la kupata maoni yao ya namna ya kusimamia Uchguzi na kuwataka washiriki wote kutambua kuwa wanajukumu kubwa la kuhakikisha amani inakuwako na itaendelaa kuwako hata baada ya `uchaguzi.

Wakurugenzi hao wametakiwa kutomruhusu mtu au kikundi cha watu, vijana kusimama karibu na vituo vya kupigia kura kwa madai ya kulinda kura hii ni kukiuka taratibu na sheria na kuwasihi wawe na ushirikiano na kuwa karibu na NEC wakati wote wa shughuli za Uchaguzi kwa lengo la kufanikisha Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani nchini.





















Asante

--
HAKIKI KADI YA MPIGA KURA
http://voters.nec.go.tz:8081/vote
SMS
+255(0)772 55 55 53
LISTEN LIVE
http://myradiostream.com/FocusRadioTz
Tume ya Taifa Ya Uchaguzi Tanzania
FACEBOOK
http://bitly.com/1zIiIkq
TWITTER
http://bit.ly/1678Vq2
WEBSITE
http://www.nec.go.tz

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WASIMAMIZI WA UCHAGUZI TOKA MAJIMBO YOTE NCHINI WAKUTANISHWA JIJINI DAR ES SALAAM.
WASIMAMIZI WA UCHAGUZI TOKA MAJIMBO YOTE NCHINI WAKUTANISHWA JIJINI DAR ES SALAAM.
https://us-mg5.mail.yahoo.com/ya/download?mid=2%5f0%5f0%5f1%5f29125019%5fAEe%2bimIAABwHVhVW7QuU2I2kUKw&m=YaDownload&pid=15&fid=Inbox&inline=1&appid=yahoomail
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/10/wasimamizi-wa-uchaguzi-toka-majimbo.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/10/wasimamizi-wa-uchaguzi-toka-majimbo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy