MAMA SAMIA AMALIZA KAMPENI MKOANI TABORA

 Aliyekuwa Mgombea Ubunge jimbo la Sikonge, lakini akaanguka katika kura za maoni, Said Nkumba, akimnadi Mgombea wa Ubunge wa jimbo...






 Aliyekuwa Mgombea Ubunge jimbo la Sikonge, lakini akaanguka katika kura za maoni, Said Nkumba, akimnadi Mgombea wa Ubunge wa jimbo hilo aliyeshinda, George Kagunda, wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgomba Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika jana katika jimbo hilo mkoani Tabora

 Aliyekuwa Mgombea Ubunge jimbo la Sikonge, lakini akaanguka katika kura za maoni, Said Nkumba, akimnadi akimnadi Mgombea wa Ubunge wa jimbo hilo aliyeshinda, George Kagunda, wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgomba Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika jimbo hilo mkoani Tabora

 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavica) wilaya ya Igunga, Anuari Kashaga akiisasambua Chadema,  wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgomba
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika jimbo hilo mkoani Tabora


 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo mkoani Tabora

 Mdau akiperuzi mtandao katika simu yake

Daudi Nteminyanda, aliyekuwa Mgombea Ubunge jimbo la Tabora Kaskazini- Uyui, kwa tiketi ya Chadema, lakini baadaye Chama hicho kikamuengua na kumuweka Joseph Kidaha aliyehamia Chadema baadaya kushindwa katika kura za maoni, akiichana Chadema, na kudai ni wanafiki katika kila jambo, alipohutubia mkutano wa kampeni wa Mgomba
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika jimbo la Tabora Kaskazini mkoaniTabora


Mgombea Ubunge jimbo la Manonga, wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Seifu Gulamali, akisalimia wananchi akati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo la Tabora Kaskazini-Uyui mkoani Tabora.

 Mgombea Ubunge jimbo la Urambo Magharibi, Margaret Sitta akiomba kura wakati wa mkutano wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika eneo la Usoke, katika jimbo hilo mkoani Tabora.

 Aliyekuwa Katibu wa Chadema wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Obeid Balola akiichana Chadema wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Usoke jimbo la Urambo Magharibi mkoani Tabora

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihtubia mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Usoke, katika jimbo la Urambo Magharibi mkoani Tabora

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Urambo Magharibi, Margaret Sitta katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo mkoani Tabora

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimkabidhi kitabu cha Ilani ya CCM, Mgombea Ubunge jimbo la Urambo Magharibi, Margaret Sitta katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo mkoani Tabora

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mh. Samia Suluhu Hassan akikumbatiana na Mgombea Ubunge jimbo la Urambo Magharibi, Margaret Sitta baada ya mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo mkoani Tabora. (PICHA NA BASHIR NKOROMO)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAMA SAMIA AMALIZA KAMPENI MKOANI TABORA
MAMA SAMIA AMALIZA KAMPENI MKOANI TABORA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj-bTS55qcCouFhyphenhyphenjx7kJcLP8Y9gAveI2-DbO3slUrcbWrJ-xLoAPlmHoO1MzYaNMtu_3JIoB7usq1LKEGhuvUdCw82dQLIZNhh0zoGEq4w3pq0V9EO6kbZonJ6EZPAUTVWPRYQrtLA2UM/s640/DSC_1329.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj-bTS55qcCouFhyphenhyphenjx7kJcLP8Y9gAveI2-DbO3slUrcbWrJ-xLoAPlmHoO1MzYaNMtu_3JIoB7usq1LKEGhuvUdCw82dQLIZNhh0zoGEq4w3pq0V9EO6kbZonJ6EZPAUTVWPRYQrtLA2UM/s72-c/DSC_1329.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/10/mama-samia-amaliza-kampeni-mkoani-tabora.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/10/mama-samia-amaliza-kampeni-mkoani-tabora.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy