LOWASSA AAHIDI NEEMA KWA WAKULIMA WA ZAO LA KAHAWA KILIMANJARO

Kada mkongwe wa Chama cha Mapinduzi, aliyejiengua hivi karibuni, Kingunge Ngombalemwiru akisalimia wakati wa mkutano wa kampeni za ...







Kada mkongwe wa Chama cha Mapinduzi, aliyejiengua hivi karibuni, Kingunge Ngombalemwiru akisalimia wakati wa mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea Urais kupitia Chadema na Vyama vinavyounda Umoja wa katiba ya wananchi UKAWA uliofanyika katika viwanja vya mashujaa mjini Moshi. (Picha zote na Dixon Busagaga wa Busagaga's Orijino Blog).
Kada mkongwe wa Chama cha Mapinduzi,aliyejiengua hivi karibuni, Kingunge Ngombalemwiru akimkaribisha mgombea Urais kupitia Chadema na Vyama vinavyounda Umoja wa katiba ya wananchi UKAWA, Edward Lowassa kuzungumza na wakazi wa mji wa Moshi katika viwanja vya Mashujaa mjini Moshi.
Mgombea Urais kupitia Chadema chini ya mwavuli wa vyama vinavyounda Umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA), Edward Lowassa akizungumza na maelfu ya wakazi wa mji wa Moshi na vitongoji vyake waliofika kumsikiliza katika mkutano uliofanyika viwanja vya Mashujaa mjini hapa.

Mwenyekiti wa Kitaifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo  (Chadema), Freeman Mbowe akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Mashujaa Mjini Moshi.

Maelefu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kutia Chadema kwa mwavuli wa vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA), wakionesha ishara ya mabadiliko.
Mwenyekiti Mwenza wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), James Mbatia akizungumza katika mkutano wa kampeni wa kumnadi mgombea Urais, Edward Lowasa uliofanyika katika uwanja wa Mashujaa mjini Moshi.

Mwenyekiti Mwenza wa vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA, James Mbatia akiwa amemnyanyua mkono na kumuombea kura mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini, Jafary Michael.
Mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini, Jafary Michael (Chadema) akizungumza na maelefu ya wananchi waliofurika katika uwanja wa Mashujaa mjini Moshi katika mkutani wa kampeni wa kumnadi mgombea Urais kupitia (UKAWA), Edward Lowassa.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: LOWASSA AAHIDI NEEMA KWA WAKULIMA WA ZAO LA KAHAWA KILIMANJARO
LOWASSA AAHIDI NEEMA KWA WAKULIMA WA ZAO LA KAHAWA KILIMANJARO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg1o-kQNB3T3LiCH8ymt_r8NWuZ2h2hRlySq0RMLZiDMNHw-TUajPbWL8xF4yydfJ2tUMOwsDY1Be3nycuKBZ4_y5JA5i5AGqAs0vwWxbtVmpcuzxqaj_LSUwcHSP6kIHvIW7mZC9y30PgB/s640/E86A2555+%25281280x853%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg1o-kQNB3T3LiCH8ymt_r8NWuZ2h2hRlySq0RMLZiDMNHw-TUajPbWL8xF4yydfJ2tUMOwsDY1Be3nycuKBZ4_y5JA5i5AGqAs0vwWxbtVmpcuzxqaj_LSUwcHSP6kIHvIW7mZC9y30PgB/s72-c/E86A2555+%25281280x853%2529.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/10/lowassa-aahidi-neema-kwa-wakulima-wa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/10/lowassa-aahidi-neema-kwa-wakulima-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy