HABARI ZA RUNINGA HIZI HAPA

STAR TV NEWS Uongozi wa chama cha DP waitaka serikali kuchunguza kwa makini kifo cha mweneyekiti wa chama hicho, kufuatia sintofah...






STAR TV NEWS
Uongozi wa chama cha DP waitaka serikali kuchunguza kwa makini kifo cha mweneyekiti wa chama hicho, kufuatia sintofahamu iliyotanda. https://youtu.be/gDuTtHQHOLo

Tanzania yatajwa kupoteza kiongozi shujaa na mpenda haki kwa misingi ya sheria bila uvunjifu wowote kwa amani, Mchungaji Christopher Mtikila. https://youtu.be/ewjw2zURbWA

Mamlaka ya manunuzi ya umma PPRA yazifungia kampuni saba pamoja na wakurugenzi wake kushiriki zabuni za umma kufuatia ukiukwaji sheria ya manunuzi. https://youtu.be/5ftV1WUH0xM

Serikali yatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa kile kinachodaiwa kuwa ukiukwaji wa haki za binadamu na kuminya uhuru wa habari na vyombo vya habari. https://youtu.be/28YJNS_VOKk

Mgombea wa CCM Dr.Magufuli aonya kuwa kuendelea kwa vitendo vya vurugu mkoani Arusha huenda vikaharibu heshima na sifa za mkoa huo. https://youtu.be/v_GZ_xl1x4c

Chama cha ACT wazalendo kimesema kinakusudia kufanya mageuzi makubwa katika sekta ya utalii nchini ili kuongeza fursa pamoja na mapato yatokanayo na sekta hiyo. https://youtu.be/YAZ2c8_X7QU
Azam tv news
Mgombea uraisi wa CCM Dkt. Magufuli aahidi kufuata nyayo za hayati Moringe Sokoine kwa kufanya kazi kama yeye kwani aliuchukia Ufisadi. https://youtu.be/vWb6bzJEO0w

Wananchi waaswa kuendelea kuwa na imani na chama cha mapinduzi kwa kupigia kura madiwani,wabunge na raisi kutoka chama hicho ili wamalize miradi ya maendeleo. https://youtu.be/p5sC1oPtOP0

Hali ya sintofahamu yatanda kwa saa kadhaa baada ya wafuasi wa vyama vya ACT na CCM kukutana uwanja mmoja na kuzua vurugu. https://youtu.be/URXwAPnMnfw

Wizara ya afya na ustawi wa jamii yathibisha ugonjwa wa kipindupindu kuendea kwenye mikoa 9 hapa nchini. https://youtu.be/SenhbffWsb8
Raisi Jakaya Kikwete amaliza ziara yake nchini Kenya na kuhutubia bunge na baraza la seneti nchini humo. https://youtu.be/N75qPsGpZbU

Baadhi ya maeneo ya mkoa wa Arusha na Kilimanjaro yaendelea kuzizima kufuatia uwepo wa wagombea uraisi wa vyama vya CCM,CHADEMA na ACT. https://youtu.be/liwB2Pdhnj8
CH 10: Mwili wa aliyekua mwenyekiti wa chama cha Democratic Party Mchungaji Christopher Mtikila watarajiwa kuagwa kesho katika viwanja vya Karimjee. https://youtu.be/lKIONfwlJpo

Ch 10: Uongozi wa mahakama nchini wahimiza majaji wa mahakama kuu kuhakikisha kesi za uchaguzi zinatolewa hukumu kati ya miezi 6 hadi 8. https://youtu.be/J_R0Izrt_jY

CH 10: Mgombea urais kupitia tiketi ya CHADEMA Edward Lowassa aahidi kuzibiti tatizo la mgao wa umeme endapo ataingia madarakani. https://youtu.be/cKqgn1N6HHY
ch 10: Mgombea uraisi wa CCM Dkt. Magufuli aahidi kufuata nyayo za hayati Moringe Sokoine kwa kufanya kazi kama yeye kwani aliuchukia Ufisadi. https://youtu.be/gIUBX8y6E80

CH 10: Nchi za Afika Mashariki zahitajika kuwekeza zaidi katika nishati endelevu ili iwe chachu ya maendeleo ya uchumi na ustawi wa jamii. https://youtu.be/uYomraBGkUI

CH 10: Serikali na benki ya CRDB yawekeana makubaliano yakutoa mikopo ya nyumba kwa watumishi ya umma wa nchini Tanzania. https://youtu.be/-DhwQcdoon0

Ch 10: Kuelekea pambano la kesho la soka Tanzania dhidi ya Malawi makocha wa timu hizo mbili waanza kutambiana ushindi wa timu zao. https://youtu.be/pj5GfiNkBrY

Ch 10: Kocha Jurgen Kloop aonekana ndiye kocha sahihi kwa Liverpool baada ya kocha Brendan Rodgers kufukuzwa kazi klabuni hapo. https://youtu.be/VB15YhaHCto
TBC: Mgombea wa urais Zanaibar kwa tiketi ya CCM awaomba wananchi wa mkoa wa Kaskazini A visiwani Zanzibar kuipa ridhaa CCM tena ili iwaletee maendeleo. https://youtu.be/s7uz7q3uDWo

Tbc: Mgombea mwenza wa CCM, Samia Suluhu Hassan aanza mikutano yake ya kampeni mkoani Kigoma kwa ahadi ya kuboresha huduma za kijamii. https://youtu.be/XAa9owFaqr4

TBC: Makamu wa rais Dk. Bilal aweka jiwe la msingi la mradi mkubwa wa uzalishaji wa umeme wa upepo kusini mwa jangwa la sahara ujenzi kuanza hivi karibuni mkoani Singida. https://youtu.be/0rF7O7rnIDM

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: HABARI ZA RUNINGA HIZI HAPA
HABARI ZA RUNINGA HIZI HAPA
https://i.ytimg.com/vi/gDuTtHQHOLo/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/gDuTtHQHOLo/default.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/10/habari-za-runinga-hizi-hapa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/10/habari-za-runinga-hizi-hapa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy