SERIKALI KUTOA MILIONI 150 KILA DAR KWA WAJASIRIAMALI

Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa ...








Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam. Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam.

SERIKALI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imepanga kutoa shilingi milioni 150 kwa kila Kata ya Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali kimikopo ili kukuza biashara zao. Kauli hiyo imetolewa na Mgombea mwenza wa CCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Mbezi Centre jijini Dar es Salaam.

Alisema ili kuboresha huduma za afya Jimbo la Kibamba Serikali imedhamiria kujenga hospitali kubwa itakayofanya kazi saa 24 pamoja na kuboresha huduma nzima za afya katika hospitali hiyo wakiwemo wataalam.

Aliongeza kuwa Serikali kupitia mradi mkubwa wa maji safi na salama imepanga kuongeza huduma za usambazazi maji kwenye eneo la Kibamba na kiujumla mradi mzima utakapokamili hali ya upatikanaji maji itapanga kutoka asilimia 65 ya watu hivi sasa hadi kufikia asilimia 95 jambo ambalo litamaliza kero kabisa ya maji Jijini Dar es Salaam.

[caption id="attachment_61505" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu kwenye uwanja wa Mbezi Centre Kata ya Mbezi jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu kwenye uwanja wa Mbezi Centre Kata ya Mbezi jijini Dar es Salaam.

Hata hivyo Serikali ya CCM imepanga kuyapima maeneo ya viwanja na kuyakabidhi kwa wananchi jimboni humo ili kuwawezesha wamiliki kuyatumia kama dhamana pamoja na kuwalipa fidia wananchi 8,365 wa Mloganzila ili kupisha uendelezaji wa eneo lililoitajika kwa maendeleo.

Mgombea mwenza alifanya mikutano yake ya kunadi ilani ya CCM katika Jimbo la Kinondoni maeneo ya Mbezi, Mburahati, Mwananyamala na Msasani (Namanga) jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam.
Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akiwanadi wagombea udiwani wa Jimbo la Kawe kwenye mkutano wa kampeni ulofanyika kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam. Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akiwanadi wagombea udiwani wa Jimbo la Kawe kwenye mkutano wa kampeni ulofanyika kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam.

IMG_0860

Meya wa Kinondoni, Yusuf Mwenda akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam. Meya wa Kinondoni, Yusuf Mwenda akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam.
Hawa Ng'umbi akizungumza kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Jimbo la Kawe kwenye mkutano wa kampeni ulofanyika kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam. Hawa Ng'umbi akizungumza kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Jimbo la Kawe kwenye mkutano wa kampeni ulofanyika kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam. *Imeandaliwa na www.thehabari.com

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SERIKALI KUTOA MILIONI 150 KILA DAR KWA WAJASIRIAMALI
SERIKALI KUTOA MILIONI 150 KILA DAR KWA WAJASIRIAMALI
http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_0785-Copy.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/09/serikali-kutoa-milioni-150-kila-dar-kwa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/09/serikali-kutoa-milioni-150-kila-dar-kwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy